Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Mkuu,Ngoja tumuite Kiranga akuchangie
Mimi kwetu kanisani. Pande zote kwa baba na mama nyumbani ni kanisani.
Hii ni moja ya sababu iliyofanya familia yangu pande zote ziwahi kusoma mapema.
Baba yake bibi yangu mzaa mama kajenga hilo kanisa la Azania Front hapo Dar na Wajerumani, wamemaliza kulijenga mwaka 1903.
Juzi tu nimetoka kuchangia mchango wa familia wa kujenga kanisa. Babu yangu upande wa baba alikuwa mchungaji.
Kama unaandika kwa kejeli, ukifikiri Kiranga kusaidia kanisani ni kitu cha ajabu, kamwe usifikiri Kiranga ni militant atheist mpinga kanisa.
Nafanya mambo kwa muktadha, kwa "savior faire".
I'm a complex individual.
And I know some of y'all lightweight posers may take this and run away with it in a different direction.
Logic.