KAGAMEE
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 4,457
- 5,454
Kanisa lako lina Msingi/Misingi ipi?Wito upo
Unaweza kunitajia Msingi/Misingi hiyo ili nione nitume sh ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kanisa lako lina Msingi/Misingi ipi?Wito upo
Weka namba/akaunti hapo chiniBwana YESU asifiwe wote humu'
Nina ombi kama utaguswa kunisapot MUNGU na akukumbuke.
Nina uhitaji wa powered mixer ya njia 6 tu na mic kwa ajili ya kuhubiria injili na kufanyia ibada kanisani. Nimeshapata Spika moja ila bado ivo apo kwa kuanzia.
Nipo Dodoma, kwa hiyo kama utaguswa kunisapoti kwa chochote kwa ajili ya kazi ya MUNGU ili nipate hivo vitu MUNGU akubariki sana.
Kwa mawasiliano, naomba uni-dm inbox
Ubarikiwee
Kwani wewe mtu wa nani?Mhh haha! Kwa zile kelele ambazo huwa mnatupigia…….!?
Anyways mwenyezi Mungu awaguse watu wake wakupatie.
Kanisa lako lina Msingi/Misingi ipi?
Unaweza kunitajia Msingi/Misingi hiyo ili nione nitume sh ngap
Sipo na katiba apa wala muongozo nipo mbali kidogo na siwez nikakuambia kwa kuhisi au kuanza kukukumbuka ila misingi ya imani ipo ningeweweza kukutajiaKanisa lako lina Msingi/Misingi ipi?
Unaweza kunitajia Msingi/Misingi hiyo ili nione nitume sh ngapi?
Elimikeni injiri sio lazma utupigie makerere mtaani, sasa hv kuna radio ndogo za kichina bei yake nafuu tu hat haizid elfu 30 ukiiconect na smart yako na ukadownload microphone app tayari unapiga injiri bila kerere bila kuboa watuBwana YESU asifiwe wote humu'
Nina ombi kama utaguswa kunisapot MUNGU na akukumbuke.
Nina uhitaji wa powered mixer ya njia 6 tu na mic kwa ajili ya kuhubiria injili na kufanyia ibada kanisani. Nimeshapata Spika moja ila bado ivo apo kwa kuanzia.
Nipo Dodoma, kwa hiyo kama utaguswa kunisapoti kwa chochote kwa ajili ya kazi ya MUNGU ili nipate hivo vitu MUNGU akubariki sana.
Kwa mawasiliano, naomba uni-dm inbox
Ubarikiwee
Nami si ndiyo nakuunga mkono kazi ya Mungu iendelee, ila fungu la kumi na sadaka linatuhusu sisi!Wekeza MUNGU atakulipa
Maana mimi namfanyia MUNGU
Sawa mkuu tusamehe kwa kuaibisha mji kwa kuhubiri injili tusamehe sana ila hatuna namna inatubidi tu tuhubiri tuwakumbushe watu kuwa YESU yu karibu kurudi wajiandaeNyie mnaiaibisha Dodoma hii sababu ya kelele zenu wengine mmejaa stand na mijini.
Badilikeni mjitathmini
Kama unamfanyia Mungu kwa nini usiende kwenye makanisa yaliyopo?Wekeza MUNGU atakulipa
Maana mimi namfanyia MUNGU
Kila makanisa yana utaratibu wake huwezi ukafika tu ukasema nifungieni vyombo nikahubiri au nataka mkutanoKama unamfanyia Mungu kwa nini usiende kwenye makanisa yaliyopo?
Kilala KheriSipo na katiba apa wala muongozo nipo mbali kidogo na siwez nikakuambia kwa kuhisi au kuanza kukukumbuka ila misingi ya imani ipo ningeweweza kukutajia
Sijaikariri kwa sababu pia ni mingi kidogo
Nene ne vuvuu tu! 😂Kwani wewe mtu wa nani?
Toa mchango wa vyombo vya Injili...lakini will lunch be provided?Nene ne vuvuu tu! 😂