Ombi la kupata Mixer na kipaza Sauti kwa ajili ya Injili

Ombi la kupata Mixer na kipaza Sauti kwa ajili ya Injili

Elimikeni injiri sio lazma utupigie makerere mtaani, sasa hv kuna radio ndogo za kichina bei yake nafuu tu hat haizid elfu 30 ukiiconect na smart yako na ukadownload microphone app tayari unapiga injiri bila kerere bila kuboa watu
Microphone App gani hiyo?
 
Bwana YESU asifiwe wote humu'

Nina ombi kama utaguswa kunisapot MUNGU na akukumbuke.

Nina uhitaji wa powered mixer ya njia 6 tu na mic kwa ajili ya kuhubiria injili na kufanyia ibada kanisani. Nimeshapata Spika moja ila bado ivo apo kwa kuanzia.

Nipo Dodoma, kwa hiyo kama utaguswa kunisapoti kwa chochote kwa ajili ya kazi ya MUNGU ili nipate hivo vitu MUNGU akubariki sana.

Kwa mawasiliano, naomba uni-dm inbox
Ubarikiwee
Vip tayari umeshapata timu ya kusifu na kuabudu,umejiengua kutoka kanisa gani au ni mchungaji magembe nini
 
Back
Top Bottom