Ombi la kupata Mixer na kipaza Sauti kwa ajili ya Injili

Ombi la kupata Mixer na kipaza Sauti kwa ajili ya Injili

Ngoja tumuite Kiranga akuchangie
Mkuu,

Mimi kwetu kanisani. Pande zote kwa baba na mama nyumbani ni kanisani.

Hii ni moja ya sababu iliyofanya familia yangu pande zote ziwahi kusoma mapema.

Baba yake bibi yangu mzaa mama kajenga hilo kanisa la Azania Front hapo Dar na Wajerumani, wamemaliza kulijenga mwaka 1903.

Juzi tu nimetoka kuchangia mchango wa familia wa kujenga kanisa. Babu yangu upande wa baba alikuwa mchungaji.

Kama unaandika kwa kejeli, ukifikiri Kiranga kusaidia kanisani ni kitu cha ajabu, kamwe usifikiri Kiranga ni militant atheist mpinga kanisa.

Nafanya mambo kwa muktadha, kwa "savior faire".

I'm a complex individual.

And I know some of y'all lightweight posers may take this and run away with it in a different direction.

Logic.
 
Bwana YESU asifiwe wote humu'

Nina ombi kama utaguswa kunisapot MUNGU na akukumbuke.

Nina uhitaji wa powered mixer ya njia 6 tu na mic kwa ajili ya kuhubiria injili na kufanyia ibada kanisani. Nimeshapata Spika moja ila bado ivo apo kwa kuanzia.

Nipo Dodoma, kwa hiyo kama utaguswa kunisapoti kwa chochote kwa ajili ya kazi ya MUNGU ili nipate hivo vitu MUNGU akubariki sana.

Kwa mawasiliano, naomba uni-dm inbox
Ubarikiwee
Hata kuuza genge,Kuendesha boda,kuwa, mwalimu, ni kazi ya, Mungu,
 
Kama unaandika kwa kejeli, ukifikiri Kiranga kusaidia kanisani ni kitu cha ajabu, kamwe usifikiri Kiranga ni militant atheist mpinga kanisa.
Kwanini unahisi nimeandika kwa kejeli ? Mbona kama unajishtukia
 
Mimi nishatoa mchango wa kanisa kwetu kama nilivyoandika hapo juu.

Hii michango ya mitandaoni ya makanisa nisiyoyajua sitaki kuchangia magaidi.
kwanini umuite gaidi ? Kama hutaki kutoa si unasema tu hutaki, kwani lazima kutumia lugha za kuvunjiana heshima
 
kwanini umuite gaidi ? Kama hutaki kutoa si unasema tu hutaki, kwani lazima kutumia lugha za kuvunjiana heshima
Sijamuita mtu gaidi. Jifunze kusoma kwa ufahamu.

Ni hivi. Kuchangia vizuri ni pale unapochangia watu unaowajua.

Kuchangiachangia mitandaoni ovyo watu usiwaowajua, unaweza hata kumchangia gaidi.

Hii ni general caution tu, sijamuita mtu gaidi.

Umeelewa hapo?
 
Kama unataka hivyo vifaa ili uende pakstan kuhubiri sawa... Ila kama unataka ueneze injili kwenye nchi ambayo catholic inatimiza miaka 100 ya jumuiya ndogo ndogo wewe ni tapeli wa baadae
 
Unaweza kufikiri unachangia kanisa, kumbe unanunua kesi ya money laundering kusaidia magaidi.

Sitaki ujinga.
uko sahihi, na kingine hii michango ya kabisa online ni kimbembe.

Kama wana ushawishi huo, kwanini wasi umane na waumini. Moja kwa Moja.
 
Back
Top Bottom