Yaani umeamua kufungua kanisa? Wewe ni nabii?KUna kanisa nimefungua mimi mwenyew bado changa kwa iyo nahitaji vyombo kwa ajilj ya mikutano ili watu waokoke waje kanisani
Una wito?KUna kanisa nimefungua mimi mwenyew bado changa kwa iyo nahitaji vyombo kwa ajilj ya mikutano ili watu waokoke waje kanisani
Ile mikelele ndio inaitwa mixer njia 6? Sio mchezo ile mikelele kiboko tena ukikutana nayo eneo kuna makanisa 3/4 yanafanya mashindano utaelewa somo yaan utaelewa huku umepigwa huku umepigwa hujakaa vizuri huku umepigwa nenoKUna kanisa nimefungua mimi mwenyew bado changa kwa iyo nahitaji vyombo kwa ajilj ya mikutano ili watu waokoke waje kanisani
Unaanzisha dhehebu lako jipya au unaendelea kumtumikia huyo Mungu wako kwenye dhehebu lako la siku zote?Bwana YESU asifiwe wote humu'
Nina ombi kama utaguswa kunisapot MUNGU na akukumbuke.
Nina uhitaji wa powered mixer ya njia 6 tu na mic kwa ajili ya kuhubiria injili na kufanyia ibada kanisani. Nimeshapata Spika moja ila bado ivo apo kwa kuanzia.
Nipo Dodoma, kwa hiyo kama utaguswa kunisapoti kwa chochote kwa ajili ya kazi ya MUNGU ili nipate hivo vitu MUNGU akubariki sana.
Kwa mawasiliano, naomba uni-dm inbox
Ubarikiwee
umeona wenzako wanafaidi na makanisa yao. Na wewe umeona uanzishe lako.KUna kanisa nimefungua mimi mwenyew bado changa kwa iyo nahitaji vyombo kwa ajilj ya mikutano ili watu waokoke waje kanisani
Kuna kajamaa kalikoanzisha makanisa ya FPCT ni below 35 sasa hivi ana makanisa 60 Tanzania mpaka Kenya na Uganda kote anakusanya pesa ana mke na watoto wanne, akikuambia jinsi alivyoanza anza Mungu awabariki matajiri wenye pesa wanajua kuwekezaNije niwekeze maokoto tunagawa kila wiki
inagharimu sh ngapi?Bwana YESU asifiwe wote humu'
Nina ombi kama utaguswa kunisapot MUNGU na akukumbuke.
Nina uhitaji wa powered mixer ya njia 6 tu na mic kwa ajili ya kuhubiria injili na kufanyia ibada kanisani. Nimeshapata Spika moja ila bado ivo apo kwa kuanzia.
Nipo Dodoma, kwa hiyo kama utaguswa kunisapoti kwa chochote kwa ajili ya kazi ya MUNGU ili nipate hivo vitu MUNGU akubariki sana.
Kwa mawasiliano, naomba uni-dm inbox
Ubarikiwee
Hapana hii ni kwa ajili ya MUNGUumeona wenzako wanafaidi na makanisa yao. Na wewe umeona uanzishe lako.