Ombi la kupata Mixer na kipaza Sauti kwa ajili ya Injili

Weka namba/akaunti hapo chini
 
Unauhakika ni kwa ajili ya Injili, Sio Sadaka wala Totoz...?
 
Kanisa lako lina Msingi/Misingi ipi?

Unaweza kunitajia Msingi/Misingi hiyo ili nione nitume sh ngap

Kanisa lako lina Msingi/Misingi ipi?

Unaweza kunitajia Msingi/Misingi hiyo ili nione nitume sh ngapi?
Sipo na katiba apa wala muongozo nipo mbali kidogo na siwez nikakuambia kwa kuhisi au kuanza kukukumbuka ila misingi ya imani ipo ningeweweza kukutajia
Sijaikariri kwa sababu pia ni mingi kidogo
 
Elimikeni injiri sio lazma utupigie makerere mtaani, sasa hv kuna radio ndogo za kichina bei yake nafuu tu hat haizid elfu 30 ukiiconect na smart yako na ukadownload microphone app tayari unapiga injiri bila kerere bila kuboa watu
 
Nyie mnaiaibisha Dodoma hii sababu ya kelele zenu wengine mmejaa stand na mijini.

Badilikeni mjitathmini
 
Nyie mnaiaibisha Dodoma hii sababu ya kelele zenu wengine mmejaa stand na mijini.

Badilikeni mjitathmini
Sawa mkuu tusamehe kwa kuaibisha mji kwa kuhubiri injili tusamehe sana ila hatuna namna inatubidi tu tuhubiri tuwakumbushe watu kuwa YESU yu karibu kurudi wajiandae
 
Kama unamfanyia Mungu kwa nini usiende kwenye makanisa yaliyopo?
Kila makanisa yana utaratibu wake huwezi ukafika tu ukasema nifungieni vyombo nikahubiri au nataka mkutano
So nikiwa na vya kwangu mda wowote nikijisikia nachukua vyombo vyangu naenda kupiga gombo na pia kama MUNGU amesema nami labda nikahubiri sehemu fulan sasa unaweza ukakuta huko hamna vyombo so nikiwa na vyangu inakuwa rahisi lakini pia naepusha kuwapa mzigo watu au watumishi wengine wa kuanza kukodi au kutafuta vyombo pale wanaponihitaji kihuduma kwa ajili ya mkutano,semina na nk
Ko ni bora niwe navyo vyangu
 
Sipo na katiba apa wala muongozo nipo mbali kidogo na siwez nikakuambia kwa kuhisi au kuanza kukukumbuka ila misingi ya imani ipo ningeweweza kukutajia
Sijaikariri kwa sababu pia ni mingi kidogo
Kilala Kheri
 
Kwanini usiungane na Wachungaji wenzako kuhubiri neno la Mungu?

Ni lazima kila anayeanza utumishi afungue kanisa lake? Kwanini msiwe pamoja kama Rc,Lutheran, Morovian, Sabato etc?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…