wakuja town
JF-Expert Member
- Oct 26, 2020
- 898
- 1,343
Tena wataandamana kabisa kumpongeza.Watafungua alafu CCM wataanza kusema tunamshukuru jpm mzalendo namba moja kwa kurudisha internet.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena wataandamana kabisa kumpongeza.Watafungua alafu CCM wataanza kusema tunamshukuru jpm mzalendo namba moja kwa kurudisha internet.
ShenziTunajiandaa kujenga nchi kwa awamu nyingine hiyo internet itarudisha nyuma tu juhudi za kuleta maendeleo ndio mana tumeamua kufunga 😂😂
Kuna mm ambaye biashara zangu nauza kwa Instagram na status z watsapa, huoni kama ni uonevu kufunga mitandao kwa zaidi ya siku 3?🤔Ujinga ni kwamba KUAMINI kuwa INTERNET imefungwa..
Kitu ambacho si KWELI..
kilichofungwa ni BAADHI ya MITANDAO YA KIJAMII tu
Huduma zote zinapatikana katika INTERNET..
kama kusoma huwa UNASOMA TWITTER?? au Classroom huw inafanyika FACEBOOK?? au WhatsApp??
Tumia akil vzr
Ingia BARABARANI... kama huwez tuliza kende
Na Tutawavunjaa
Mkuu vumilia,nasubiria wakishsmaliza majumuisho ya kura zote na mshindi kutangazwa ntarudisha,maana katiba inasena rais akishatangazwa hakuna mahakama au popote anapingwa.Issue ya internet naombeni mnatuonea hata wale tusiokuwa na mlengo wowote. Wengine siasa kama police na bangi yaani kwakweli hatutaki hata kusikia mambo ya siasa ila fungueni internet haya ya kutumia VPN ni mateso sana
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Watafungua alafu CCM wataanza kusema tunamshukuru jpm mzalendo namba moja kwa kurudisha internet.
Ooho, mamaye kinda huyu kapata hasara sana, salaleeeh kakuza tahira kwa uvivu wa kulea [emoji41]Ujinga ni kwamba KUAMINI kuwa INTERNET imefungwa..
Kitu ambacho si KWELI..
kilichofungwa ni BAADHI ya MITANDAO YA KIJAMII tu
Huduma zote zinapatikana katika INTERNET..
kama kusoma huwa UNASOMA TWITTER?? au Classroom huw inafanyika FACEBOOK?? au WhatsApp??
Tumia akil vzr
Ingia BARABARANI... kama huwez tuliza kende
Na Tutawavunjaa
wooooi!!!! hivi kumbe nyie mataga mnavyolishwa buku saba per day hapo lumumba mnadhani kila mtu ni njaa kali kama nyie??Nawaonea huruma sana CHADEMA.. msiache KULA... mtakondeana saana
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Watafungua alafu CCM wataanza kusema tunamshukuru jpm mzalendo namba moja kwa kurudisha internet.
The black Chinese kantre.Wanaohusika na internet tunaomba mturejeshee internet jamani. Kumbukeni wengine wanasoma online, wengine wanafanya biashara online, wengine internet ndio chakula chao.
Naombeni sana mturudishie hii kitu inatutesa sana.
Kuhusu Insta acha uongoMtandao upi uo uliofungwa?,mbona wababe wenye pasword zetu tunabuluza tu kote kote mbele na nyuma.
Insta.
tweeter.
fb na kwengineko watu wanaingia na wanapost kama kawaida na mambo yanasonga.
Achaneni na internet ni Mabebru ina rudisha maendeleo nyumaUzuri mmoja swala la kublock internet halina chama 🤣🤣🤣
Apo malaika amepiga chafya tu tusubiri malaika ajambe harufu itufikie ndio tutalewa woteKuzimwa kwa internet ni manyunyu tu,the worst is yet to come!
CHADEMA wote sasa hivi tuna mkubali malaika sisi ni wana chama wapya wa CCM wenye akiliNawaonea huruma sana CHADEMA.. msiache KULA... mtakondeana saana
Mpka mzee aapishweWanaohusika na internet tunaomba mturejeshee internet jamani. Kumbukeni wengine wanasoma online, wengine wanafanya biashara online, wengine internet ndio chakula chao.
Naombeni sana mturudishie hii kitu inatutesa sana.
Aisee misipo hapa kubishana.Kuhusu Insta acha uongo
Aibu snChadema wote sasa hivi tuna mkubali malaika sisi ni wana chama wapya wa CCM wenye akili