Ombi la kurejeshewa Internet

Ombi la kurejeshewa Internet

Ujinga ni kwamba KUAMINI kuwa INTERNET imefungwa..

Kitu ambacho si KWELI..

kilichofungwa ni BAADHI ya MITANDAO YA KIJAMII tu

Huduma zote zinapatikana katika INTERNET..

kama kusoma huwa UNASOMA TWITTER?? au Classroom huw inafanyika FACEBOOK?? au WhatsApp??

Tumia akil vzr

Ingia BARABARANI... kama huwez tuliza kende

Na Tutawavunjaa
Kuna mm ambaye biashara zangu nauza kwa Instagram na status z watsapa, huoni kama ni uonevu kufunga mitandao kwa zaidi ya siku 3?🤔
 
Issue ya internet naombeni mnatuonea hata wale tusiokuwa na mlengo wowote. Wengine siasa kama police na bangi yaani kwakweli hatutaki hata kusikia mambo ya siasa ila fungueni internet haya ya kutumia VPN ni mateso sana
Mkuu vumilia,nasubiria wakishsmaliza majumuisho ya kura zote na mshindi kutangazwa ntarudisha,maana katiba inasena rais akishatangazwa hakuna mahakama au popote anapingwa.
Nsije nkawarudishia sasa hivi kabla mkanza kutupiana kwenye magroup yenu mji mobilized kuandamana.
 
Internet ipo tena kasi ile ile ila social media tulizozizoea ndio zipo down
 
Ujinga ni kwamba KUAMINI kuwa INTERNET imefungwa..

Kitu ambacho si KWELI..

kilichofungwa ni BAADHI ya MITANDAO YA KIJAMII tu

Huduma zote zinapatikana katika INTERNET..

kama kusoma huwa UNASOMA TWITTER?? au Classroom huw inafanyika FACEBOOK?? au WhatsApp??

Tumia akil vzr

Ingia BARABARANI... kama huwez tuliza kende

Na Tutawavunjaa
Ooho, mamaye kinda huyu kapata hasara sana, salaleeeh kakuza tahira kwa uvivu wa kulea [emoji41]
 
Wanaohusika na internet tunaomba mturejeshee internet jamani. Kumbukeni wengine wanasoma online, wengine wanafanya biashara online, wengine internet ndio chakula chao.

Naombeni sana mturudishie hii kitu inatutesa sana.
The black Chinese kantre.
 
Mtandao upi uo uliofungwa?,mbona wababe wenye pasword zetu tunabuluza tu kote kote mbele na nyuma.
Insta.
tweeter.
fb na kwengineko watu wanaingia na wanapost kama kawaida na mambo yanasonga.
Kuhusu Insta acha uongo
 
Internet imefungwa ili kupunguza habari za uongo kipindi hiki cha uchaguzi kwa ajili ya usalama wa taifa.
 
Wanaohusika na internet tunaomba mturejeshee internet jamani. Kumbukeni wengine wanasoma online, wengine wanafanya biashara online, wengine internet ndio chakula chao.

Naombeni sana mturudishie hii kitu inatutesa sana.
Mpka mzee aapishwe
 
Wengine tunatumia internet kupokea mafundisho ya Yesu kutoka kwa watumishi mbalimbali ulimwenguni
Kwa kutuzimia internet mmetudhihirishia kwamba shetani yupo pamoja na CCM
Leo hii siogopi kusema kuwa watawala wa nchi nchi yetu wanamtumikia shetani maana mpaka sasa hamna taarifa yeyote iliyotolewa na wahusika kutueleza sababu ya kuzima internet ila tumejua kuwa serikali ya Tanzania ina ongozwa na watu wenye roho mbaya ya kishetani
Kwa kutukosesha huduma za mafundisho (live stream) laana na iwe juu yenu na wana wenu
 
Back
Top Bottom