Ombi la kurejeshewa Internet

Ombi la kurejeshewa Internet

Chuo kipi.. mbn unauliza maswal nusu nusu.. we elewa kilichofungwa ni SOCIAL MEDIAS TU
Kwani watu wanasoma kupitia wapi?Lazima kuna uhusiano Kati ya social media na tovuti za kusomea mfano wapo wanasoma kwa kutafuta baadhi ya vitu kupitia google nakadhalika.Sasa google nayo haifunguki au sio social media?
 
Google ni social media au ni SEARCH ENGINE??? Tumia akil vzr
 
Nimepata taarifa kua VPN inafika muda inabidi ulipie jamani nikweli hili jambo?
Una ngoa unaweka ingine kabla haija isha muda wake kumbuka ku download kabla ya kwisha mda ila zipo za bure muda wote
 
Udikteta wa KUFUNGA mawasiliano huwa NAUUNGA mkono.. kwa mikono Miwili

Kwasababu kuna Majitu kuongea Uongo.. umbea na Uchochez ni namba moja.. mfn ww bwegee unaeongea kuwa Search engine imefungwa kitu ambacho si kwel..

Je kwenye Uchaguzi si ndio Utaongea umbea na dada zako huko twitter kuchafua CHAMA PENDWA ?!
 
Google ni social media au ni SEARCH ENGINE??? Tumia akil vzr
Mfano wanafunzi walio apply vyuo online hapa nchini hiki ndo kipindi cha majibu ya selection lakini wanapotaka kuingia kwenye akaunti zao ili kuangalia status zao wanashindwa.

Maana huwa wanaingia either kupitia google ama chrome Sasa hizo hazina access tena.Wafanyeje?
 
Hiv unaelewa maana ya Social media?

Ukiona MATOKEO chuo haijatoa ujue bado..

Na system za Chuo haziingiliani na Social media acha uzwazwa
 
Usilale mapema RAIS anatangazwa leo muda si mref
Kwani kuna mahali nimesema mimi ni mwanachama wa chama chochote hadi niwe na mzuka wa kusubiri matokeo?

Mimi sio mwanachama wala mfuasi wa chama chochote kile ila naongea kama raia wa kawaida tu.

Si kila anayehoji jambo fulani ni mpinzani huu ndo ujinga wa watu wengi.
 
Nimetaja kuwa ww ni CHAMA fulani? Umejiona ulivya fala?
 
Back
Top Bottom