Yimakatso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 7,060
- 9,468
Mfano wanaosoma vyuo online.Kusoma nin?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfano wanaosoma vyuo online.Kusoma nin?
Ukute wewe hata level ya mgambo hujafika halafu unaongea kama mlevi aliyekunywa chimpumu.Andamana
Chuo kipi.. mbn unauliza maswal nusu nusu.. we elewa kilichofungwa ni SOCIAL MEDIAS TUMfano wanaosoma vyuo online.
Hahah.. nimeandika wapi mimi ni ASKARI? au nyege zimeahamia kichwani?Ukute wewe hata level ya mgambo hujafika halafu unaongea kama mlevi aliyekunywa chimpumu.
Kwani watu wanasoma kupitia wapi?Lazima kuna uhusiano Kati ya social media na tovuti za kusomea mfano wapo wanasoma kwa kutafuta baadhi ya vitu kupitia google nakadhalika.Sasa google nayo haifunguki au sio social media?Chuo kipi.. mbn unauliza maswal nusu nusu.. we elewa kilichofungwa ni SOCIAL MEDIAS TU
Google ni social media au ni SEARCH ENGINE??? Tumia akil vzrKwani watu wanasoma kupitia wapi?Lazima kuna uhusiano Kati ya social media na tovuti za kusomea mfano wapo wanasoma kwa kutafuta baadhi ya vitu kupitia google nakadhalika.Sasa google nayo haifunguki au sio social media?
Unaposema andamana tuwavunje una maana unawavunja waandamanaji kama kibaka au intarahamwe?Hahah.. nimeandika wapi mimi ni ASKARI? au nyege zimeahamia kichwani?
Una ngoa unaweka ingine kabla haija isha muda wake kumbuka ku download kabla ya kwisha mda ila zipo za bure muda woteNimepata taarifa kua VPN inafika muda inabidi ulipie jamani nikweli hili jambo?
We si uandamane ndio Utajua unavunjwa vipi.Unaposema andamana tuwavunje una maana unawavunja waandamanaji kama kibaka au intarahamwe?
Mfano wanafunzi walio apply vyuo online hapa nchini hiki ndo kipindi cha majibu ya selection lakini wanapotaka kuingia kwenye akaunti zao ili kuangalia status zao wanashindwa.Google ni social media au ni SEARCH ENGINE??? Tumia akil vzr
Hiv unaelewa maana ya Social media?Mfano wanafunzi walio apply vyuo online hapa nchini hiki ndo kipindi cha majibu ya selection lakini wanapotaka kuingia kwenye akaunti zao ili kuangalia status zao wanashindwa.
Maana huwa wanaingia either kupitia google ama chrome Sasa hizo hazina access tena.Wafanyeje?
Of courseStupidity never end...
No time to argue with fool like you...am out.We si uandamane ndio Utajua unavunjwa vipi
Sio uongo labda kama sisi wa airtel ndio tumefungiwaUongooo mkubwaaa acha Uongoo au uliishiwa BUNDLE..????
Usilale mapema RAIS anatangazwa leo muda si mrefNo time to argue with fool like you...am out.
Sas unabisha nin wakat hujafany Tafiti..?? Mim natumia TTCL mtandao wa Serikali na naipata Google vzr na IG notification zinakujaSio uongo labda kama sisi wa airtel ndio tumefungiwa
Kwani kuna mahali nimesema mimi ni mwanachama wa chama chochote hadi niwe na mzuka wa kusubiri matokeo?Usilale mapema RAIS anatangazwa leo muda si mref
Nimetaja kuwa ww ni CHAMA fulani? Umejiona ulivya fala?Kwani kuna mahali nimesema mimi ni mwanachama wa chama chochote hadi niwe na mzuka wa kusubiri matokeo?
Mimi sio mwanachama wala mfuasi wa chama chochote kile ila naongea kama raia wa kawaida tu.
Si kila anayehoji jambo fulani ni mpinzani huu ndo ujinga wa watu wengi.