Ombi la kurejeshewa Internet

Ombi la kurejeshewa Internet

Miafrika ndivyo tulivyo!
 
Attachments

  • Screenshot_20201105-231118.png
    Screenshot_20201105-231118.png
    49.8 KB · Views: 1
Katika dunia ya leo wakati wewe unajua hili kuna wengine wanajua lile , tulitoa taarifa mapema sana hapa na kwingineko kwamba viongozi wa Tanzania wamefikia muafaka wa kijinga wa kuzima mtandao moja kwa moja , wako waliotubishia na wengine wakafuta maandiko yetu wakituhisi kwamba ni wazushi , huku wakijipa matumaini kwamba baada ya uchaguzi na kuapishana labda mitandao itarejeshwa .

Lakini sasa imedhihirika kwamba hoja zetu zilikuwa na mashiko , baada ya sasa kuthibitika kwamba nchi yetu imerejeshwa rasmi kwenye mfumo wa ujima ambao unaipeleka nchi kuzimu.

Nakulilia Tanzania , Mwana kulitafuta mwana kulipata.
 
Bado tuweke akiba ya maneno au tujipe moyo wabunge wakishaapishwa. Labda tarehe 11 maisha yanaweza kuwa kawaida tena.
 
Katika dunia ya leo wakati wewe unajua hili kuna wengine wanajua lile , tulitoa taarifa mapema sana hapa na kwingineko kwamba viongozi wa Tanzania wamefikia muafaka wa kijinga wa kuzima mtandao moja kwa moja , wako waliotubishia na wengine wakafuta maandiko yetu wakituhisi kwamba ni wazushi , huku wakijipa matumaini kwamba baada ya uchaguzi na kuapishana labda mitandao itarejeshwa .

Lakini sasa imedhihirika kwamba hoja zetu zilikuwa na mashiko , baada ya sasa kuthibitika kwamba nchi yetu imerejeshwa rasmi kwenye mfumo wa ujima ambao unaipeleka nchi kuzimu .

Nakulilia Tanzania , Mwana kulitafuta mwana kulipata .

sio moja kwa moja mwisho ni 11th november
 
Na Masanja akiwemo

Hapo ndipo nilipomuona jamaa ni bonge la zuzu, yani alikomalia kabisa kua watu wanaodai kua intaneti imefungwa na TCRA ni wanafki

Anajidai intellectual kwa kuwa challenge watu kwa vimaswali vyake vya kimtego kumbe nae kichwani mtupu tu
 
Katika dunia ya leo wakati wewe unajua hili kuna wengine wanajua lile , tulitoa taarifa mapema sana hapa na kwingineko kwamba viongozi wa Tanzania wamefikia muafaka wa kijinga wa kuzima mtandao moja kwa moja , wako waliotubishia na wengine wakafuta maandiko yetu wakituhisi kwamba ni wazushi , huku wakijipa matumaini kwamba baada ya uchaguzi na kuapishana labda mitandao itarejeshwa ....
asante Moderator kwa kutumia VPN ili kuunga uzi huu , ubarikiwe sana
 
Wewe si wa kwanza kuleta matumaini

nadhan ifike sehem kama ni kuachishwa siasa muachishwe tu kwa sababu your of no use, as a company tuliletewa barua kabla mambo yote hajafungwa and mwisho ni 11th, unless further notice, hio barua ilishapostiwa uku mara kibao
 
Jiwe ana mafuasi mengi mazuzu yanayoshangilia kila kitu mitandaoni!!

Haya mazuzu mengi yao hayawezi ku-afford premium VPN, na mengine hata huko ku-download hizo free vpn hayawezi hata pa kuanzia!

Kwahiyo aendelee tu kuifungia mizuzu yake manake wale wanaompiga vitofa wengi wao uwezo wa ku-afford premium vpn wanao na hata wale wasio na huo uwezo, wengi wapo smarter na wana uwezo wa ku-accesss free vpn!

So, again, liacheni Jiwe liyakere misukule yake mwenyewe iliyojazana Instagram...
 
Kwahio unajiona mjanja weeee au sio?
 
Back
Top Bottom