Ombi la wazi kwa Mheshimiwa Tundu Lisu

Ombi la wazi kwa Mheshimiwa Tundu Lisu

Shocker

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
1,958
Reaction score
3,890
Ni mfuatiliaji na mshabiki halisi wa Mheshimiwa Tundu Lisu, na namuhesabu kati ya wasomi waliosheheni elimu ya sheria.
Ninachohitajia kwake ni kutumia hekima na busara amuombe radhi na msamaha Raisi Samia.
Photos speaks thousands word.
1691494120342.png
1691494142597.png
 
Natumai ikifika siku hio hata wananchi watatoka machozi. 🥺
 
Kama itakuwa inafaida kisiasa atafanya hivyo!.. kwasasa inafaida hivyo anavyofanya!
Ina faida kubwa sana kisiasa na kibinaadamu,kuliko unavyofikiria kuliko hata huo mkataba.
Kwanza ufahamu hakuna kitu unaweza kumlipa mtu anaekuthamini ,nina imani kabisa kuwa Mheshimiwa Lisu ,hili linamwenda kwenye akili yake na ni mzigo ambao hakuna aneweza kuuhisi isipokuwa yeye mwenyewe,feelings kitu kingine ndugu.
 
Ina faida kubwa sana kisiasa kuliko unavyofikiria kuliko hata huo mkataba.
Mwenzako anafanya calculation za kisiasa wewe unaangalia kijamii hiyo ndio tofauti!
 
Ni mfuatiliaji na mshabiki halisi wa Mheshimiwa Tundu Lisu, na namuhesabu kati ya wasomi waliosheheni elimu ya sheria.
Ninachohitajia kwake ni kutumia hekima na busara amuombe radhi na msamaha Raisi Samia.
Photos speaks thousands word.
View attachment 2711895View attachment 2711896
Inamaana hujamsikia Rais leo kule Mbeya? Kasema tunatukanwa kule Twitter na "tunastahili". Uzuri LISSU hatukan bali ana kauli za kukera!!
 
Kosa la Lissu ni lipi?

Usimfundishe utumwa.
 
Lissu sio mbinafsi. Hawezi kujikomba kwa Samia kwa vile alimtembelea hospitali baada ya jaribio la kumuua lililo ratibiwa na bosi wake na kuacha kuwasemea kwa SAUTI KALI anapo umiza kizazi hiki cha Watanganyika na vijavyo.
Yesu alitufundisha jambo ambalo ni somo la kujitoa.
Alipo ulizwa jee wewe ni mfalme wa wayahudi? Angejibu hapana sio asingesulubiwa. Lakini alikubali asulubiwe na kuuawa kwa mateso ili neno la kweli litimie.
Lissu hawezi fanya hilo hata siku moja, unless watimize matakwa ya Watanganyika na Tanzania kwa ujumla.
 
Unashauri amuombe radhi na msamaha Raisi Samia, kwa kosa lipi..??
 
Lissu sio mbinafsi. Hawezi kujikomba kwa Samia kwa vile alimtembelea hospitali baada ya jaribio la kumuua lililo ratibiwa na bosi wake na kuacha kuwasemea kwa SAUTI KALI anapo umiza kizazi hiki cha Watanganyika na vijavyo.
Yesu alitufundisha jambo ambalo ni somo la kujitoa.
Alipo ulizwa jee wewe ni mfalme wa wayahudi? Angejibu hapana sio asingesulubiwa. Lakini alikubali asulubiwe na kuuawa kwa mateso ili neno la kweli litimie.
Lissu hawezi fanya hilo hata siku moja, unless watimize matakwa ya Watanganyika na Tanzania kwa ujumla.
Hayo unayasema wewe.
 
Inamaana hujamsikia Rais leo kule Mbeya? Kasema tunatukanwa kule Twitter na "tunastahili". Uzuri LISSU hatukan bali ana kauli za kukera!!
Kama wanakereka kwa kusikia ukweli, then sioni kosa la Lisu hapo...🤷‍♂️
 
Natumai ikifika siku hio hata wananchi watatoka machozi. 🥺

..Na Samia Suluhu amuombe radhi Lissu kwa kumkebehi kwamba risasi tatu za serikali zingetosha kumuua.

..pia Raisi aunde TUME YA UCHUNGUZI ili kuwabaini waliotaka kumuua Lissu, na hatua za kisheria zichukuliwe dhidi yao.
 
Natumai ikifika siku hio hata wananchi watatoka machozi. 🥺
Mkuu kwako inaonekana rais ni kama Mungu. Viongozi wanaoingia madarakani kwa kupora chaguzi za nchi mnawezaje kuwasujudia hivyo?
 
Back
Top Bottom