Nina Akili Ndogo Sana
JF-Expert Member
- Jun 2, 2026
- 865
- 1,125
Malipo kwa kazi hiyo ni shingapi?NB: Nina Akili Ndogo Sana.
Msiniletee bendera ya CCM. Msiniletee bendera ya CHADEMA. Msiniletee bendera ya chama chochote kile cha kisiasa au ya nchi nyingine yoyote ambayo sio Tanzania.
Sema mke wa TAL!
usikute hii I'd ni ya kiume alf anajiitq mke wa lisu
Kwahyo Mimi gay?usikute hii I'd ni ya kiume alf anajiitq mke wa lisu
mi sijasema hivyo😆😆 bt who know😜Kwahyo Mimi gay?
Yes. Nina Akili Ndogo Sana and I'm so proud of it.
Au ikimpendeza afungwe kuzunguka uso kama ule ushungi wa bibi mpendwa. Achague mwenyewe ila malipo yawe tayari amekabidhi.Haina shida.Siyo kukuwekea pembeni tu,tutakufunga kiunoni kwa mtindo wa kibwebwe au kukufunga kichwani mtindo unaitwa usongo/Tupac style.Ondoa hofu.
Aachwe uso kama panya anachungulia maadui!.Au ikimpendeza afungwe kuzunguka uso kama ule ushungi wa bibi mpendwa. Achague mwenyewe ila malipo yawe tayari amekabidhi.
Au tutashona kama dera tumvalishe bila kusahau kikuku mguuniHaina shida.Siyo kukuwekea pembeni tu,tutakufunga kiunoni kwa mtindo wa kibwebwe au kukufunga kichwani mtindo unaitwa usongo/Tupac style.Ondoa hofu.
Mpaka afe ametabasamu ndiyo tutaingia hiyo gharama.Au tutashona kama dera tumvalishe bila kusahau kikuku mguuni
UhakikaNB: Nina Akili Ndogo Sana.
Msiniletee bendera ya CCM. Msiniletee bendera ya CHADEMA. Msiniletee bendera ya chama chochote kile cha kisiasa au ya nchi nyingine yoyote ambayo sio Tanzania.
Wamesema eti wataleta za Simba ,Yanga, Real Madrid na nyinginezo ili ujichagulie mwenyewe. Hiyo si imekaa poa kabisa aisee?NB: Nina Akili Ndogo Sana.
Msiniletee bendera ya CCM. Msiniletee bendera ya CHADEMA. Msiniletee bendera ya chama chochote kile cha kisiasa au ya nchi nyingine yoyote ambayo sio Tanzania.