MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Kila ukipanda bodaboda hakikisha uko nayo kwasababu sio lazima ufe ukiwa unaumwa Kitandani.NB: Nina Akili Ndogo Sana.
Msiniletee bendera ya CCM. Msiniletee bendera ya CHADEMA. Msiniletee bendera ya chama chochote kile cha kisiasa au ya nchi nyingine yoyote ambayo sio Tanzania.