MamaSamia2025 JF-Expert Member Joined Mar 29, 2012 Posts 21,387 Reaction score 44,030 Aug 30, 2026 #21 Nina Akili Ndogo Sana said: NB: Nina Akili Ndogo Sana. Msiniletee bendera ya CCM. Msiniletee bendera ya CHADEMA. Msiniletee bendera ya chama chochote kile cha kisiasa au ya nchi nyingine yoyote ambayo sio Tanzania. Click to expand... Kila ukipanda bodaboda hakikisha uko nayo kwasababu sio lazima ufe ukiwa unaumwa Kitandani.
Nina Akili Ndogo Sana said: NB: Nina Akili Ndogo Sana. Msiniletee bendera ya CCM. Msiniletee bendera ya CHADEMA. Msiniletee bendera ya chama chochote kile cha kisiasa au ya nchi nyingine yoyote ambayo sio Tanzania. Click to expand... Kila ukipanda bodaboda hakikisha uko nayo kwasababu sio lazima ufe ukiwa unaumwa Kitandani.
Iyerdoy JF-Expert Member Joined Nov 17, 2023 Posts 4,090 Reaction score 5,248 Aug 30, 2026 #22 ndege JOHN said: JF inazidi kupoteza mvuto Click to expand... GTs waliobaki ni wachache.
Iyerdoy JF-Expert Member Joined Nov 17, 2023 Posts 4,090 Reaction score 5,248 Aug 30, 2026 #23 MamaSamia2025 said: Kila ukipanda bodaboda hakikisha uko nayo kwasababu sio lazima ufe ukiwa unaumwa Kitandani. Click to expand... Yeah. Umemwongezea Fursa za tahadhari za kuchukua ili Lengo/Ombi lake liweze kutimia.
MamaSamia2025 said: Kila ukipanda bodaboda hakikisha uko nayo kwasababu sio lazima ufe ukiwa unaumwa Kitandani. Click to expand... Yeah. Umemwongezea Fursa za tahadhari za kuchukua ili Lengo/Ombi lake liweze kutimia.
Tumwesige senior JF-Expert Member Joined Jan 28, 2013 Posts 6,978 Reaction score 12,641 Aug 30, 2026 #24 Au ukiona kama vp siku ukiona mambo hayakai uitumie kujinyonga
S Swensa JF-Expert Member Joined Oct 18, 2024 Posts 2,880 Reaction score 4,295 Aug 30, 2026 #25 Mkuu lengo lako ni Nini 😁
Tumwesige senior JF-Expert Member Joined Jan 28, 2013 Posts 6,978 Reaction score 12,641 Aug 30, 2026 #26 Kwenye hii kazi ndugu Nina Akili Ndogo Sana unatoa sh ngapi
Masagala JF-Expert Member Joined Jan 28, 2017 Posts 4,663 Reaction score 9,335 Aug 30, 2026 #27 Hiyo bendera itakufufua.