Unamkataa chawa mwenzakononsense 🐒
Nashangaa au kajichanganyaUnamkataa chawa mwenzako
Chai..Tuna rais mpenda maendeleo na ameleta mapinduzi makubwa sana kila sector abapo jpm aliharibu kila kila kitu.
Haya ni maombi yangu mana haitakii mema nchi hii. Tuna rais mpenda maendeleo na ameleta mapinduzi makubwa sana kila sector abapo jpm aliharibu kila kila kitu.
Samia kila nchi inamtamnai akaongozw mana hana makelele yeye ni kazi tu shukrani atazipata mbinguni
Hakuna nchi ambayo haina ufisaidi cha msingi maendeleo yanayoonekaa. Kumbuka miladi yote aliyoanzisha jpm bila plan yote kamaliza na barabara zinachingwa kila kona. Hata jpm alitotorosha pesa kibao china kupitia kwa dottoChai..
Utawala wa sasa unafanya ufisadi wa kutisha..
DOKEZO - Huu ni ufisadi wa kutisha! Haujawahi kutokea katika kulihujumu Taifa, na unafanywa na viongozi wakuu wa Serikali! | JamiiForums Tanzania https://share.google/wfL0hVkcEL4hyKRKl
machawa asili yao ni roho mbaya, ameshaona mgao unagawanyika zaidi, atapokea kidogo, lazma amkataeUnamkataa chawa mwenzako
Hata wewe umekataa mkuu, kweli jamaa kaandika upupu.nonsense 🐒
Maendeleo anayoyapenda yanakwamishwa na watu wenye akili za namna yako. Kumkosoa magufuli na kusifia awamu hii ni dalili kuwa kuna mrija umeuotea mahali unaunyonya unavyotaka. Sio uzalendoHaya ni maombi yangu mana haitakii mema nchi hii. Tuna rais mpenda maendeleo na ameleta mapinduzi makubwa sana kila sector abapo jpm aliharibu kila kila kitu.
Samia kila nchi inamtamnai akaongozw mana hana makelele yeye ni kazi tu shukrani atazipata mbinguni
Mungu yupi. Au yule zumalidiSa100 anakufa huko badala uombe Mungu amwepushe na kifo wewe unahangaika na Lissu aliye na Ulinzi wa Mungu🤷🏾♂️
Sasa jpm alifanya nini zaidi ya kufikuza wawekeza na kufanya nchi kuwa kama getoMaendeleo anayoyapenda yanakwamishwa na watu wenye akili za namna yako. Kumkosoa magufuli na kusifia awamu hii ni dalili kuwa kuna mrija umeuotea mahali unaunyonya unavyotaka. Sio uzalendo
Dogo,cha msingi maendeleo yanayoonekaa.
Umekiri unajipigia tu kwa sasa. Mtazamo wako juu ya utendaji wake haubadilishi uhalisia.Sasa jpm alifanya nini zaidi ya kufikuza wawekeza na kufanya nchi kuwa kama geto