Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
- #21
Asante, mimi niko huku kumpa pole KamalaNitakutafuta week ijayo narudi soon, nipo huku Mpumalanga South Africa,kwa kazi binafsi!!
Shukrani once again.
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante, mimi niko huku kumpa pole KamalaNitakutafuta week ijayo narudi soon, nipo huku Mpumalanga South Africa,kwa kazi binafsi!!
Shukrani once again.
Pamoja mkuu!!!Asante, mimi niko huku kumpa pole Kamala
P
UWT mtusaidieChadema unyonge wenu ndio mtaji
Mkuu Tindo ,lets asume you are right, kama CCM ingeshindwa,nafasi yake ingeshikwa na nani?Kimsingi uwezo wa ccm kushinda kihalali kwenye chaguzi za nchi hii ilikuwa 2005, baada ya hapo kizazi cha ccm kilifikia tamati. 2015 kama sio mahusiano ya vyombo vya dola na ccm, leo hii ingekuwa kaburi moja na KANU ya Kenya.
Alipewa mkakati huo na kina nani?maana hili mimi nililionea kwenye jarida la mabeberu The Economist: Rais Magufuli ametangaza kufuta Upinzani ifikapo 2020 na kuirudisha Tanzania kuwa Nchi ya chama KimojaBaada ya uchaguzi wa 2015 Magufuli akapewa mkakati wa kuua upinzanI ili ccm indelee kubaki hai,
Kumbe kuna njia za kisayansi za kuua upinzani, na kumbe ni bahati mbaya!, angalia tarehe ya bandiko hili Elections 2015 - If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him!lakini kwa bahati mbaya hakutumia njia za kisayansi, bali mabavu,
Aliyepo sasa alikuwepo enzi za chaguzi za kishenzi na anajua the consequences za ushenzi ule hivyo haitegemewi na yeye kuendeleza ushenzi ule ule。hapo ndio tulipoanza kushuhudia kwa uwazi chaguzi za kishenzi ambazo hadi sasa ni muendelezo.
halafu nafasi ya CCMCcm wanapaswa waambiane ukweli, zama zao zimefika mwisho, waheshimu chaguzi maana hiki sio kizazi chao. Sana sana wakiendelea kukaza fuvu, watajikuta kwenye vituo vya wapiga kura na familia zao.
Wakati Nyerere anataka kustaafu, watu waliingia woga wakawa wanajiuliza maswali kwa mtindo wako huohuo, Nyerere alikuwa kama mungu,Mkuu Tindo ,lets asume you are right, kama CCM ingeshindwa,nafasi yake ingeshikwa na nani?
Alipewa mkakati huo na kina nani?maana hili mimi nililionea kwenye jarida la mabeberu The Economist: Rais Magufuli ametangaza kufuta Upinzani ifikapo 2020 na kuirudisha Tanzania kuwa Nchi ya chama Kimoja
Kumbe kuna njia za kisayansi za kuua upinzani, na kumbe ni bahati mbaya!, angalia tarehe ya bandiko hili Elections 2015 - If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him!
Aliyepo sasa alikuwepo enzi za chaguzi za kishenzi na anajua the consequences za ushenzi ule hivyo haitegemewi na yeye kuendeleza ushenzi ule ule。
halafu nafasi ya CCM
ishikwe na nani?。
P
Ni kweli no one is indispensable, hata JPM aliwahi kutamka bila mimi nani atafanya, alichomoka na maisha yameendelea by default kama ndege kwenye autopilot, hizo ni individual situations, lakini tukija kwenye siasa za vyama na siasa za nchi, siasa pia ni sayansi, political science, inafuata scientific principles, ili CCM iweze kuondoshwa, lazima kwanza iwepo replacement kwanza ndipo CCM iondoshwe, it's very unfortunately in Tanzania, bado hatuna replacement ya CCM, hivyo CCM bado ipo sana tuu!Wakati Nyerere anataka kustaafu, watu waliingia woga wakawa wanajiuliza maswali kwa mtindo wako huohuo, Nyerere alikuwa kama mungu,
Maisha yaliendelea, Tanzania itaendelea vizuri bila hata CCM Paskal Mayala.
Replacement ipo, ni opposition party CHADEMA.Ni kweli no one is indispensable, hata JPM aliwahi kutamka bila mimi nani atafanya, alichomoka na maisha yameendelea by default kama ndege kwenye autopilot, hizo ni individual situations, lakini tukija kwenye siasa za vyama na siasa za nchi, siasa pia ni sayansi, political science, inafuata scientific principles, ili CCM iweze kuondoshwa, lazima kwanza iwepo replacement kwanza ndipo CCM iondoshwe, it's very unfortunately in Tanzania, bado hatuna replacement ya CCM, hivyo CCM bado ipo sana tuu!
Sababu ya CCM kuendelea kuwepo sana tuu, nimezieleza sana humu
P
Nenda Kenya hapo, makada wa KANU ya Kenya walikuwa wanasema chama chao tu kilikuwa kinaweza kuendesha Kenya. Leo hii KANU iko kaburini, na Kenya ina uchumi mzuri kuliko sisi tunaotawaliwa na chama kimoja kwa shuruti muda wote huu.Mkuu Tindo ,lets asume you are right, kama CCM ingeshindwa,nafasi yake ingeshikwa na nani?
Alipewa mkakati huo na kina nani?maana hili mimi nililionea kwenye jarida la mabeberu The Economist: Rais Magufuli ametangaza kufuta Upinzani ifikapo 2020 na kuirudisha Tanzania kuwa Nchi ya chama Kimoja
Kumbe kuna njia za kisayansi za kuua upinzani, na kumbe ni bahati mbaya!, angalia tarehe ya bandiko hili Elections 2015 - If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him!
Aliyepo sasa alikuwepo enzi za chaguzi za kishenzi na anajua the consequences za ushenzi ule hivyo haitegemewi na yeye kuendeleza ushenzi ule ule。
halafu nafasi ya CCM
ishikwe na nani?。
P
Wanabodi
Hivyo sasa tunapokwenda kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi mkuu wa 2025 naomba kutoa ombi mahsus na maalum na angalizo muhimu kwa mhusika mkuu who matters most na uchanguzi huu wa Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, uendeshwe kwa kutumia kanuni ya Kilatini ya "ceteris paribus" na sio kuendelea kutumia hizi kanuni zetu za kawaida za kila siku za "Mutatis Mutandis"!.
Nimesikia sauti, "voices from within" ikiniambia kuwa tukiendelea kufanya chaguzi zetu kwa Mutatis Mutandis, hizi, kuna jambo fulani litatokea tena kama lilivyotokea baada ya mutatis mutandis ya uchagizi wa serikali za mitaa 2019 na uchaguzi mkuu wa 2020.
Lakini tukiendelea kutumia huu mtindo wetu wa kawaida wa siku zote wa mutatis mutandis, taifa letu tutalaaniwa na viongozi wetu watalaaniwa na kuadhibiwa!, and you never know ni adhabu gani viongozi wetu wakuu wataadhibiwa this time around!.
Mungu ibariki Tanzania.
Nawatakia Weekend Njema,
Paskali,
Washington DC
Marekani
Mkuu Kamundu ,tulishauri hapa tukapuuzwa,tutashauri tena na tena before uchaguzi wa 2025 to make things right。P,
Huu uchaguzi ni pengo lingine kwa nchi yetu na mwaka kesho itakuwa ngumu sana kwa utaratibu huu kuwashawishi wapiga kura
Mkuu Kamundu ,tulishauri hapa tukapuuzwa,tutashauri tena na tena before uchaguzi wa 2025 to make things right。
p
Kuna mabandiko ni unidirectional kwa the establisment kama bandiko hili。Powa lakini muwe makini sana kusifia wizi, unyangasaji, utekaji, kudidimiza demokrasia. Kwa ufupi watu wengi hapa wataondoka na dhana kwamba umesifia yanayoendelea hata kama ukikuwa hauna maana hiyo.
Kuna mabandiko ni unidirectional kwa the establisment kama bandiko hili。
p
Sisi Wasukuma ni watu wenye heshima sana kwa wanawake,kuna vitu huwezi kuwa bold kwa mwanamke,wenzetu wana ngozi laini na machozi yao yako karibu,tusije liza watu bure。Ni ninatimia tuu lugha laini lakini sija compromise kwenye agenda。Be Bold brother more open . Do not compromising your values
Sisi Wasukuma ni watu wenye heshima sana kwa wanawake,kuna vitu huwezi kuwa bold kwa mwanamke,wenzetu wana ngozi laini na machozi yao yako karibu,tusije liza watu bure。Ni ninatimia tuu lugha laini lakini sija compromise kwenye agenda。
P
Ni uandishi mbovu sana eti andiko la mwandishi nguliNa ufafanuzi pia
Uandishi wa hovyo sanaSisi Wasukuma ni watu wenye heshima sana kwa wanawake,kuna vitu huwezi kuwa bold kwa mwanamke,wenzetu wana ngozi laini na machozi yao yako karibu,tusije liza watu bure。Ni ninatimia tuu lugha laini lakini sija compromise kwenye agenda。
P
Naamini most oldtimers tuliopo humu mpaka leo,ni tupo kwa maslahi ya taifa,na mtu kama mimi, japo ni kada,lakini chama kinapotuletea ujinga,tunakibalasa https://www.jamiiforums.com/threads...inga-wa-ccm-1995-akachagua-upinzani.1395750/, serikali yetu inapofanya madudu,tunaibalasa huku tumemuwekea Mama kingio Madudu ya ajabu ya ubatili wa Katiba yetu, mabadiliko "fake" ya sheria na Tume ya Uchaguzi. Rais Samia asilaumiwe kwasababu yeye sio mwanasheria!Ni kutofautisha nchi na mtu/watu. Usifanye kwa mtu binafsi bali kwa manufaa ya nchi kwa ujumla wake. Kama ni binafsi mimi hata kwenye JF nisingekuwepo. Na mimi binafsi hata sasa hii system inaninufaisha zaidi kwasababu hao vigogo ndiyo group langu na marafiki zangu lakini kwa faida ya taifa nitakuwa muwazi bila kujali jinsia, rangi, kabila wala nini.
Ni uandishi mbovu sana eti andiko la mwandishi nguli
Pumbaf kabisa
Pole sana Mkuu Don Moen ,Kwanza asante kuchangia uzi wangu, ila mabandiko yangu humu, huwa yana vimo mbalimbali na tofauti tofauti,kuna mabandiko ya wote na manadiko ya wakubwa tuu na kuna mabandiko ya ma GTUandishi wa hovyo sana