Pre GE2025 Ombi Maalum, Kwa Mtu Maalum Achana na Hizi Mutatis Mutandis Kwenye Chaguzi za SM2024 & U/Mkuu2025, Tumia Ceteris Peribus, Utabarikiwa, Tutabarikiwa!

Pre GE2025 Ombi Maalum, Kwa Mtu Maalum Achana na Hizi Mutatis Mutandis Kwenye Chaguzi za SM2024 & U/Mkuu2025, Tumia Ceteris Peribus, Utabarikiwa, Tutabarikiwa!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kimsingi uwezo wa ccm kushinda kihalali kwenye chaguzi za nchi hii ilikuwa 2005, baada ya hapo kizazi cha ccm kilifikia tamati. 2015 kama sio mahusiano ya vyombo vya dola na ccm, leo hii ingekuwa kaburi moja na KANU ya Kenya.
Mkuu Tindo ,lets asume you are right, kama CCM ingeshindwa,nafasi yake ingeshikwa na nani?
Baada ya uchaguzi wa 2015 Magufuli akapewa mkakati wa kuua upinzanI ili ccm indelee kubaki hai,
Alipewa mkakati huo na kina nani?maana hili mimi nililionea kwenye jarida la mabeberu The Economist: Rais Magufuli ametangaza kufuta Upinzani ifikapo 2020 na kuirudisha Tanzania kuwa Nchi ya chama Kimoja
lakini kwa bahati mbaya hakutumia njia za kisayansi, bali mabavu,
Kumbe kuna njia za kisayansi za kuua upinzani, na kumbe ni bahati mbaya!, angalia tarehe ya bandiko hili Elections 2015 - If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him!
hapo ndio tulipoanza kushuhudia kwa uwazi chaguzi za kishenzi ambazo hadi sasa ni muendelezo.
Aliyepo sasa alikuwepo enzi za chaguzi za kishenzi na anajua the consequences za ushenzi ule hivyo haitegemewi na yeye kuendeleza ushenzi ule ule。
Ccm wanapaswa waambiane ukweli, zama zao zimefika mwisho, waheshimu chaguzi maana hiki sio kizazi chao. Sana sana wakiendelea kukaza fuvu, watajikuta kwenye vituo vya wapiga kura na familia zao.
halafu nafasi ya CCM
ishikwe na nani?。
P
 
Mkuu Tindo ,lets asume you are right, kama CCM ingeshindwa,nafasi yake ingeshikwa na nani?

Alipewa mkakati huo na kina nani?maana hili mimi nililionea kwenye jarida la mabeberu The Economist: Rais Magufuli ametangaza kufuta Upinzani ifikapo 2020 na kuirudisha Tanzania kuwa Nchi ya chama Kimoja

Kumbe kuna njia za kisayansi za kuua upinzani, na kumbe ni bahati mbaya!, angalia tarehe ya bandiko hili Elections 2015 - If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him!

Aliyepo sasa alikuwepo enzi za chaguzi za kishenzi na anajua the consequences za ushenzi ule hivyo haitegemewi na yeye kuendeleza ushenzi ule ule。

halafu nafasi ya CCM
ishikwe na nani?。
P
Wakati Nyerere anataka kustaafu, watu waliingia woga wakawa wanajiuliza maswali kwa mtindo wako huohuo, Nyerere alikuwa kama mungu,
Maisha yaliendelea, Tanzania itaendelea vizuri bila hata CCM Paskal Mayala.
 
Ni kweli no one is indispensable, hata JPM aliwahi kutamka bila mimi nani atafanya, alichomoka na maisha yameendelea by default kama ndege kwenye autopilot, hizo ni individual situations, lakini tukija kwenye siasa za vyama na siasa za nchi, siasa pia ni sayansi, political science, inafuata scientific principles, ili CCM iweze kuondoshwa, lazima kwanza iwepo replacement kwanza ndipo CCM iondoshwe, it's very unfortunately in Tanzania, bado hatuna replacement ya CCM, hivyo CCM bado ipo sana tuu!
Sababu ya CCM kuendelea kuwepo sana tuu, nimezieleza sana humu

Replacement ipo, ni opposition party CHADEMA.

ni chama ambacho kinaogopwa kwenye uchaguzi mdogo tu wa local government.

Majina ya wagombea yanakatwa with no aparrent reasons.

Maofisa wa serikali wanakimbia ofisi, kupokea fomu za kugombea za wapinzani.

Miezi miwili nyuma Serikali ilitumia nguvu kubwa sana kuzuia maandamano ya CHADEMA.

Hila za kuteka,Tisha,ua wapinzani,na kuwanunua kama mbuzi sokoni, study case msigwa na vijana wengi ambao wamepewa uwaziri na nafasi mbalimbali, study case Katambi.

Nakupa nyongeza nchi wakati inapata uhuru je TANU ilikuwa imeimarika???

Ilikuwa right replacement??

Nkowe,Ruangwa,Lindi kulikuwa na Mzee maarufu PAUL NORBERT kabila la wamwera WANAFIKI.
Kazi yake kubwa nilikuwa kueneza propaganda kuwa TANU haiwezi kutawala nchi wakoloni waendelee kuikalia Tanganyika.

PAUL NORBERT alifanya hivyo mosi kwa hofu,pili alikuwa mamluki wa wazungu kwa sababu alikuwa kiongozi kwenye serikali ya kikoloni.

Kama TANU iliweza katika mazingira yale,mfano NYERERE alianza nchi ikiwa na mhandisi mmoja tu.

Leo mifumo imebadilika kabisa ipo systematic, chama chochote kikipewa ridhaa kinaongoza nchi vizuri tu.

Paskal Mayala ,post Yako uliyonijibu umeandika kama LAY MAN, hamna chembe ya LOGIC,hamna valid premises uses kwa ajili ya ku draw right conclusion.

Paskal Mayala Learned Brother you need analytical skills.

Nashukuru umekuwa mwandishi, ungefanya kazi ya. U ADVOCATE ungekuwa unapugw sana kwenye area za technicality mahakama kuu.

Maneno yako ni kama vile mfumo wa vyama vingi umeanza jana, hivyo vyama vinahitaji kuimarika! Opossition Tz Ina umri wa mtu mzima.

Bila wizi wa Kura na matumizi ya vyombo vya dola, Zanzibar na Bara vingekuwa chini ya vyama vya upinzani siku nyingi.

Ila wewe binafsi haitoshi na hukuwa candidate sahihi kwa ubunge KAWE 2020,ukapata kura 1 tu, ambayo ulijipigia mwenyewe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣😀😀😀

Pia sio kweli kusema "ILI CCM IWEZE KUONDIKA INABIDI KUWE NA REPLACEMENT" huo ni uongo,kinachohitajika ni kura za kuikataa, na kutangaza ile will ya wapiga kura, matokeo yawe kweli yaliotangazwa yawe Yale mamuzi ya wapiga kura.

🙏🙏
 
Humu wanakuja watu tofauti hiyo ceteris peribus na mutandis wataijulia wapi bw. mayalla ???
Ndo maana magufuli alisema , mayalla manake njaa !!
 
Mkuu Tindo ,lets asume you are right, kama CCM ingeshindwa,nafasi yake ingeshikwa na nani?

Alipewa mkakati huo na kina nani?maana hili mimi nililionea kwenye jarida la mabeberu The Economist: Rais Magufuli ametangaza kufuta Upinzani ifikapo 2020 na kuirudisha Tanzania kuwa Nchi ya chama Kimoja

Kumbe kuna njia za kisayansi za kuua upinzani, na kumbe ni bahati mbaya!, angalia tarehe ya bandiko hili Elections 2015 - If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him!

Aliyepo sasa alikuwepo enzi za chaguzi za kishenzi na anajua the consequences za ushenzi ule hivyo haitegemewi na yeye kuendeleza ushenzi ule ule。

halafu nafasi ya CCM
ishikwe na nani?。
P
Nenda Kenya hapo, makada wa KANU ya Kenya walikuwa wanasema chama chao tu kilikuwa kinaweza kuendesha Kenya. Leo hii KANU iko kaburini, na Kenya ina uchumi mzuri kuliko sisi tunaotawaliwa na chama kimoja kwa shuruti muda wote huu.
 
Wanabodi

Hivyo sasa tunapokwenda kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi mkuu wa 2025 naomba kutoa ombi mahsus na maalum na angalizo muhimu kwa mhusika mkuu who matters most na uchanguzi huu wa Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, uendeshwe kwa kutumia kanuni ya Kilatini ya "ceteris paribus" na sio kuendelea kutumia hizi kanuni zetu za kawaida za kila siku za "Mutatis Mutandis"!.

Nimesikia sauti, "voices from within" ikiniambia kuwa tukiendelea kufanya chaguzi zetu kwa Mutatis Mutandis, hizi, kuna jambo fulani litatokea tena kama lilivyotokea baada ya mutatis mutandis ya uchagizi wa serikali za mitaa 2019 na uchaguzi mkuu wa 2020.

Lakini tukiendelea kutumia huu mtindo wetu wa kawaida wa siku zote wa mutatis mutandis, taifa letu tutalaaniwa na viongozi wetu watalaaniwa na kuadhibiwa!, and you never know ni adhabu gani viongozi wetu wakuu wataadhibiwa this time around!.
Mungu ibariki Tanzania.
Nawatakia Weekend Njema,

Paskali,
Washington DC
Marekani
P,
Huu uchaguzi ni pengo lingine kwa nchi yetu na mwaka kesho itakuwa ngumu sana kwa utaratibu huu kuwashawishi wapiga kura
Mkuu Kamundu ,tulishauri hapa tukapuuzwa,tutashauri tena na tena before uchaguzi wa 2025 to make things right。

p
 
Mkuu Kamundu ,tulishauri hapa tukapuuzwa,tutashauri tena na tena before uchaguzi wa 2025 to make things right。

p

Powa lakini muwe makini sana kusifia wizi, unyangasaji, utekaji, kudidimiza demokrasia. Kwa ufupi watu wengi hapa wataondoka na dhana kwamba umesifia yanayoendelea hata kama ukikuwa hauna maana hiyo.
 
Powa lakini muwe makini sana kusifia wizi, unyangasaji, utekaji, kudidimiza demokrasia. Kwa ufupi watu wengi hapa wataondoka na dhana kwamba umesifia yanayoendelea hata kama ukikuwa hauna maana hiyo.
Kuna mabandiko ni unidirectional kwa the establisment kama bandiko hili。
p
 
Be Bold brother more open . Do not compromising your values
Sisi Wasukuma ni watu wenye heshima sana kwa wanawake,kuna vitu huwezi kuwa bold kwa mwanamke,wenzetu wana ngozi laini na machozi yao yako karibu,tusije liza watu bure。Ni ninatimia tuu lugha laini lakini sija compromise kwenye agenda。

Ni kutofautisha nchi na mtu/watu. Usifanye kwa mtu binafsi bali kwa manufaa ya nchi kwa ujumla wake. Kama ni binafsi mimi hata kwenye JF nisingekuwepo. Na mimi binafsi hata sasa hii system inaninufaisha zaidi kwasababu hao vigogo ndiyo group langu na marafiki zangu lakini kwa faida ya taifa nitakuwa muwazi bila kujali jinsia, rangi, kabila wala nini.
 
Uandishi wa hovyo sana
 
Naamini most oldtimers tuliopo humu mpaka leo,ni tupo kwa maslahi ya taifa,na mtu kama mimi, japo ni kada,lakini chama kinapotuletea ujinga,tunakibalasa https://www.jamiiforums.com/threads...inga-wa-ccm-1995-akachagua-upinzani.1395750/, serikali yetu inapofanya madudu,tunaibalasa huku tumemuwekea Mama kingio Madudu ya ajabu ya ubatili wa Katiba yetu, mabadiliko "fake" ya sheria na Tume ya Uchaguzi. Rais Samia asilaumiwe kwasababu yeye sio mwanasheria!
na Mama akifanya madudu,tunamkosoa kwa staha
P
 
Ni uandishi mbovu sana eti andiko la mwandishi nguli

Pumbaf kabisa
Uandishi wa hovyo sana
Pole sana Mkuu Don Moen ,Kwanza asante kuchangia uzi wangu, ila mabandiko yangu humu, huwa yana vimo mbalimbali na tofauti tofauti,kuna mabandiko ya wote na manadiko ya wakubwa tuu na kuna mabandiko ya ma GT
only。

Mfano bandiko hili ni only kwa watu wanaojua mutatis mundandis na ceteris peribus, hivyo ukiwa ni kilaza fulani, bandiko kama hili linakuwa limekuzidi kimo,unajikuta umetoka kapa,pole sana!。

Ushauri wa bure kwako,ukikutana na bandiko limekuzidi kimo,take time kujielemisha,or save your time, jipitie zako,nenda kwenye mabandiko ya kimo chako。
P
 
Back
Top Bottom