OMBI MUHIMU SANA NA LIZINGATIWE...Mlio karibu na Dada Maria Sarungi chonde chonde mshaurini asizungumze na Press kama alivyopanga

Umezinyaka kwamba wanataka ku mkolimba kupitia microphone!!?
Sawa!
 
We jitetee ruka ruka ila that's a fact, and acha kulamba lamba miguu kwa bando la ten.

Pia punguza ushamba kutokula ugali sio sign ya kuwa tajiri / kuwa na pesa.

Bora mimi naandika upuuzi ila sio mpuuzi kama wewe, baba yangu ni tajiri sana maana ana afya njema inamtosha sana.
 
Uzuri hatujuani humu unaweza ukakisia kitu chochote na ukaandika kwa kubuni
Sikumtukana huyo mama yako bali nilijibu kutokana na uzi na wala sikuwa na ubaya
Unaposema baba yako ni tajiri nilifikiri utajisifia wewe ila naona tufunge mjadala tujikite kwenye mada tu
Uwe na jioni njema
 
Sasa naanza kuamini kuna watu huwa wanajiteka wenyewe.

Nimesoma sehemu Maria anasema alipambana mpaka kuachiwa, halafu watekaji ni watu wenye silaha.

Hawa Wanaharakati sijuu wanatuchukuliaje?
Kama kweli kasema hivyo itakua alijiteka,maria arv zimemmaliza anaweza pambana na nani!?
 
Kwa kweli Maria anyamaze tu.
Anaitukana Serikali from the safety of Nairobi.
Anasababisha watu hapa kukamatwa,kuteswa na kutupwa Coco Beach.
 
Hope ujumbe ataupata
Hajanisikiliza na kafanya kile alichokiahidi na hatimaye ndiyo ameharibu zaidi. Waambieni hawa Watu wawe Wanatusikiliza na waache Dharau kwani Wengine tumebarikiwa Maono Makubwa mno na Mwenyezi Mungu na tuna Uwezo pia wa Kunusa Hatari zinazokuja.
 
Mkuu huwa nakubali sana English yako , imenyooka vizuri, bila shaka ni product ya elimu ya nje au international schools za hapa Tanzania,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…