D Metakelfin
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 3,399
- 3,666
Kwenda kuishi ughaibuni kama mkimbizi wa kisiasaHiyo sababu unayomtahadharisha nayo mwenzako ndio alikua anaitafuta….muda wake wa kupokea maua yake.
Zamu kwa zamu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenda kuishi ughaibuni kama mkimbizi wa kisiasaHiyo sababu unayomtahadharisha nayo mwenzako ndio alikua anaitafuta….muda wake wa kupokea maua yake.
Zamu kwa zamu.
Hongera Kwako Wewe unayemjua zaidi na Nisamehe sana Mimi Mnyonge na Mchovu kwa Kujipendekeza Kumshauri.Bila shaka humjui Maria
Anao huo uwezo tangu anazaliwa, maua ya sasa ni ubatizo rasmi kambini.Kwenda kuishi ughaibuni kama mkimbizi wa kisiasa
Umezinyaka kwamba wanataka ku mkolimba kupitia microphone!!?Naomba nisiseme sababu hapa ila kama Raia Tukuka wa Afrika Mashariki naomba atulie Kwanza kwani Hali ya Anga kwa sasa si nzuri Kwake.
Na kama itampendeza basi ajitahidi mno kwa mwaka huu wa 2025 aende akatulie nje ya nchi na asijishughulishe sana na Siasa za Afrika Mashariki na Afrika kwa Ujumla wake na mwakani 2026 arejee.
Asanteni kama mtakuwa mmenielewa.
We jitetee ruka ruka ila that's a fact, and acha kulamba lamba miguu kwa bando la ten.Kweli kabisa kwenye keyboards mtu anaongea chochote
Ila katika familia yetu hakuna anaekula ugali 😄
Unaposema familia yote unakosea sana maana hakuna masikini hata mmoja naapa
Ila kama nimekosea kusema hivyo kuhusu mama yako unaemjua kwa undani mpaka mali zake basi unisamehe sana
Humu hatujuani kwa hiyo unaweza kuropoka chochote Ila kama unajua maana ya mitandao usingeandika upuuzi huu
Hebu weka utajiri wa baba yako nao
Uzuri hatujuani humu unaweza ukakisia kitu chochote na ukaandika kwa kubuniWe jitetee ruka ruka ila that's a fact, and acha kulamba lamba miguu kwa bando la ten.
Pia punguza ushamba kutokula ugali sio sign ya kuwa tajiri / kuwa na pesa.
Bora mimi naandika upuuzi ila sio mpuuzi kama wewe, baba yangu ni tajiri sana maana ana afya njema inamtosha sana.
Kama kweli kasema hivyo itakua alijiteka,maria arv zimemmaliza anaweza pambana na nani!?Sasa naanza kuamini kuna watu huwa wanajiteka wenyewe.
Nimesoma sehemu Maria anasema alipambana mpaka kuachiwa, halafu watekaji ni watu wenye silaha.
Hawa Wanaharakati sijuu wanatuchukuliaje?
Kumekucha......!!Kama kweli kasema hivyo itakua alijiteka,maria arv zimemmaliza anaweza pambana na nani!?
Hajanisikiliza na kafanya kile alichokiahidi na hatimaye ndiyo ameharibu zaidi. Waambieni hawa Watu wawe Wanatusikiliza na waache Dharau kwani Wengine tumebarikiwa Maono Makubwa mno na Mwenyezi Mungu na tuna Uwezo pia wa Kunusa Hatari zinazokuja.Hope ujumbe ataupata
Mkuu huwa nakubali sana English yako , imenyooka vizuri, bila shaka ni product ya elimu ya nje au international schools za hapa Tanzania,Tanzanian intelligence has become crude, sluggish, incompetent and inept, led by diabolical socialistic peasants. Back in the 80's nobody would have even noticed the abductions until when it's too late.
By the way it's very stupid to jeopardize diplomacy and misuse national resources into kidnapping a harmless woman.