OMBI MUHIMU SANA NA LIZINGATIWE...Mlio karibu na Dada Maria Sarungi chonde chonde mshaurini asizungumze na Press kama alivyopanga

OMBI MUHIMU SANA NA LIZINGATIWE...Mlio karibu na Dada Maria Sarungi chonde chonde mshaurini asizungumze na Press kama alivyopanga

Naomba nisiseme sababu hapa ila kama Raia Tukuka wa Afrika Mashariki naomba atulie Kwanza kwani Hali ya Anga kwa sasa si nzuri Kwake.

Na kama itampendeza basi ajitahidi mno kwa mwaka huu wa 2025 aende akatulie nje ya nchi na asijishughulishe sana na Siasa za Afrika Mashariki na Afrika kwa Ujumla wake na mwakani 2026 arejee.

Asanteni kama mtakuwa mmenielewa.
Umezinyaka kwamba wanataka ku mkolimba kupitia microphone!!?
Sawa!
 
Kweli kabisa kwenye keyboards mtu anaongea chochote
Ila katika familia yetu hakuna anaekula ugali 😄
Unaposema familia yote unakosea sana maana hakuna masikini hata mmoja naapa
Ila kama nimekosea kusema hivyo kuhusu mama yako unaemjua kwa undani mpaka mali zake basi unisamehe sana
Humu hatujuani kwa hiyo unaweza kuropoka chochote Ila kama unajua maana ya mitandao usingeandika upuuzi huu
Hebu weka utajiri wa baba yako nao
We jitetee ruka ruka ila that's a fact, and acha kulamba lamba miguu kwa bando la ten.

Pia punguza ushamba kutokula ugali sio sign ya kuwa tajiri / kuwa na pesa.

Bora mimi naandika upuuzi ila sio mpuuzi kama wewe, baba yangu ni tajiri sana maana ana afya njema inamtosha sana.
 
We jitetee ruka ruka ila that's a fact, and acha kulamba lamba miguu kwa bando la ten.

Pia punguza ushamba kutokula ugali sio sign ya kuwa tajiri / kuwa na pesa.

Bora mimi naandika upuuzi ila sio mpuuzi kama wewe, baba yangu ni tajiri sana maana ana afya njema inamtosha sana.
Uzuri hatujuani humu unaweza ukakisia kitu chochote na ukaandika kwa kubuni
Sikumtukana huyo mama yako bali nilijibu kutokana na uzi na wala sikuwa na ubaya
Unaposema baba yako ni tajiri nilifikiri utajisifia wewe ila naona tufunge mjadala tujikite kwenye mada tu
Uwe na jioni njema
 
Sasa naanza kuamini kuna watu huwa wanajiteka wenyewe.

Nimesoma sehemu Maria anasema alipambana mpaka kuachiwa, halafu watekaji ni watu wenye silaha.

Hawa Wanaharakati sijuu wanatuchukuliaje?
Kama kweli kasema hivyo itakua alijiteka,maria arv zimemmaliza anaweza pambana na nani!?
 
Kwa kweli Maria anyamaze tu.
Anaitukana Serikali from the safety of Nairobi.
Anasababisha watu hapa kukamatwa,kuteswa na kutupwa Coco Beach.
 
Hope ujumbe ataupata
Hajanisikiliza na kafanya kile alichokiahidi na hatimaye ndiyo ameharibu zaidi. Waambieni hawa Watu wawe Wanatusikiliza na waache Dharau kwani Wengine tumebarikiwa Maono Makubwa mno na Mwenyezi Mungu na tuna Uwezo pia wa Kunusa Hatari zinazokuja.
 
Tanzanian intelligence has become crude, sluggish, incompetent and inept, led by diabolical socialistic peasants. Back in the 80's nobody would have even noticed the abductions until when it's too late.

By the way it's very stupid to jeopardize diplomacy and misuse national resources into kidnapping a harmless woman.​
Mkuu huwa nakubali sana English yako , imenyooka vizuri, bila shaka ni product ya elimu ya nje au international schools za hapa Tanzania,
 
Back
Top Bottom