Ombi: Mzee Kikwete msaidie Dogo Aslay arejee kwenye gemu

Vita ya WCB ilimshinda vanessa dogo aslay ni mdogo sana kwenye vita hyo sasa hvi wanamtafuta marioo maana anawasumbua sana WCB hawataki kuona msanii anafanya vizuri nje ya lebel yao.
Vanessa hakuwahi shindana na WCB, tafadhari usitake kuleta uongo wako hapa, na hapo unataka kusema alikua anashindana na zuchu, yaan chawa mnalazimisha sana mambo lol.
 
Hela zake mwenyewe kalia starehe sisi tumsaidie nini,labda kumtunzia mzazi mwenzake
 
Dogo UPUMBAVU wake umemponza,
Aliondoka kwa mkubwa fella akisema anadhulumiwa.

Huyo uyo mkubwa fella anawamanage wasanii wakubwa ambao mpk Sasa wako peak Sana na hatujaskia malalamiko hayo
Mf: diamond,chege,f.a, a.y n.k
 
Watu waache kusaidia wagonjwa, walemavu nk wakaanze kusaidia wacheza kamari
 
Wabongo kujifanya mnawajua watu ndani nje... Kijana wa watu yupo mjini bize na biashara zake nyie mpo bize kumjadiri uongo. Mnapenda kufuatilia maisha ya wanaume ndio maana tuna wapumulia
Kwa nini hajatoboa pamoja na kuimba kote kule?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…