Ombi: Mzee Kikwete msaidie Dogo Aslay arejee kwenye gemu

Ombi: Mzee Kikwete msaidie Dogo Aslay arejee kwenye gemu

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Wakuu huyu dogo ndio alikuwa kinara wa Yamoto Band na kuushtua mji kwa ngoma baada ya ngoma kabla ya story za wambea wa mujini kusema kamali itammaliza maana anajua kuweka mzigo haswaa .

Za chinichini ni kuwa kamali imemmaliza hadi mke na mtoto kukimbia kwa alosto ya ndaga na kuuza Mali zote na Isha kurudi uzaramoni .

Kwa sasa hatoi ngoma amepotea kama upepo hawezi kudaidika arudi town tena na mangoma yake

Kwa kuwa mzee wetu Kikwete amesaidia wasanii hasa wa ukanda wa Pwani na pia yeye hupita humu JF tumuombe amsaidie hata sober house aende Kisha arejee asiwe kama kina Feruuzi, Twenty percent , Daz baba na Chid Benz wasanii wa Pwani ni majanga sana.

1655929464617.png

USSR
 
Kuna kipindi watu walimfananisha na Diamond huyu dogo Aslay.

Mbosoo hakuwa mjinga kusaini WCB

Yupo wapi Rich mavoko aliyeondoka WCB kwa mbwembwe na dada yake dokii

Huyo dogo Aslay kama ni mjanja inapaswa arudi kumpigia magoti said Fella. Fella atampeleka WCB kwa connection kama Zuchu alivyopelekwa na Hadija Kopa
 
Daah watu wa wcb mnafurahisha sana. Mavoco kilichomtoa mnakifahamu vizuri tu ila hamtaki kukiweka wazi mtaaibika, ndo maana harmo mmemshindwa. Msafishieni nyota yule mwimba taarabu wa wcb hata queen darlin tu mmeshindwa kumng'arisha,zuchu nae mnatumia nguvu kubwa mno kwake hasa kiki ya kutoka na boss wake.

Wcb walikua wanamtaka aslay ila mkubwa fella kwa maslah yake binafsi akamzibia,hivyo wakamchukua mbosso.

Kama aslay keshaingia kwenye betting basi kaisha na vile anaweka mizigo mikubwa akitajarajia ubilionea huko wcb ataenda gombana na boss wake tu
Kuna kipindi watu walimfananisha na diamond huyu dogo aslay.

Mbosoo hakuwa mjinga kusaini WCB

Yupo wapi rich mavoko aliyeondoka WCB kwa mbwembwe na dada yake dokii

Huyo dogo aslay kama ni mjanja inapaswa arudi kumpigia magoti said Fella. Fella atampeleka WCB kwa connection kama zuchu alivyopelekwa na Hadija Kopa
 
Wabongo kujifanya mnawajua watu ndani nje... Kijana wa watu yupo mjini bize na biashara zake nyie mpo bize kumjadiri uongo. Mnapenda kufuatilia maisha ya wanaume ndio maana tuna wapumulia
Ilo ndo TATIZO Aslay kwasasa yupo NAIROBI anakamilisha Album yake Ila mijitu kujifanya inajua watu...kuhusu kukimbiwa na Mke...mke which yule Tessy...ivi wwe unaweza kuhimili mikiki ya Tessy chocolate??? Aslay mwenyewe alisema ile pisi ilitaka ustar tu ilivyoona imeupata ikaamua kuleft na kwel ukiangalia yule pisi anashobo sana na kina domo,lukamba, .....e.t.c...Aslay wala ajashuka kimziki naamini akitoa Album yake patakua hapatoshii
 
Meneja wake anayeitwa Maneno,kamchelewesha Aslay na hawakuwa na plan msanii anatoa nyimbo 14 ndani ya mwaka na zote hits ,kama angekuwa anatoa kwa mwaka tatu anachanganya na mbili za kawaida mpaka sasa Aslay angekuwa bado yupo juu.
Nilitaka kusema hivyo ila cha kuongezea ni kwamba meneja wake ndiyo alikuwa anamfelisha sana
 
Meneja wake anayeitwa Maneno,kamchelewesha Aslay na hawakuwa na plan msanii anatoa nyimbo 14 ndani ya mwaka na zote hits ,kama angekuwa anatoa kwa mwaka tatu anachanganya na mbili za kawaida mpaka sasa Aslay angekuwa bado yupo juu.
Nasemea juu ya mapato ya zaidi ya 70m alizopoteza kupita meneja wake kwa sababu aslay hakuwa anapata fedha stahiki kutokana na kazi zake za Sanaa. Na hata ukienda Spotify utakuwa multiple profiles za Aslay hii ikimaanisha pia anapoteza mapato mengi huko
 
Back
Top Bottom