OMBI: Rais Samia mteue Wakili msomi Peter Kibatala kuwa Jaji




Acha uchawi wewe kigagu.
 
Ivi mnadhani zile mbwembwe za kuuliza maswali ya mtego na maswali ya kumchosha mpinzani kabla ya swali la msingi ndio mnaona ni kigezo cha kuteuliwa kuwa jaji!!.
 
Sawa balozi saimon siro tumekuelewa.
Dah sema maisha sio kabisa
Kutoka IGP mpaka balozi
 
Ivi mnadhani zile mbwembwe za kuuliza maswali ya mtego na maswali ya kumchosha mpinzani kabla ya swali la msingi ndio mnaona ni kigezo cha kuteuliwa kuwa jaji!!.
Ungewaambia mawakili wa serikali nao wafanye mbwembwe Kama unadhani Ni kazi rahisi
 
Umetoa ushauri mzuri sana.
Rais Samia alisema atakuwa tayari kumteua mtu yeyote wa itikadi yeyote akiona anafaa kujenga taifa
 
Kibatala hataweza hiyo kazi ya ujaji maana hatakubaliana kuelekezwa na watawala namna ya kuendesha kesi. Watu wenye uoga wa maisha na kupenda maisha ya mserereko ndio rahisi kukubali hizo nafasi.
Sahihi 100%
 
Siku mahakama zikiwa huru, ndio utajua uwezo wa kina Kibatala. Sio hizo mahakama za kuchukua maelekezo kwa viongozi. Ule upuuzi unaoendelea kwenye mahakama zetu, ndio hupelekea wazungu kutuita manyani.
Au lile jina alilowabatiza wafrika Rais Trump
 
Kuna sifa gani za ziada alizonazo hadi kuwapita mawakili wenzake na kuitwa "wakili msomi"?

Tunao mawakili wangapi wenye elimu na vigezo kama vyake?

Au kuitetea Chadema na Mbowe ndio stashahada ya ziada?
Kuna tofauti kubwa kati ya elimu na umahiri yaani competence.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…