Ombi: Serikali ituruhusu wananchi kutumia uwanja wa ndege Chato kuanikia mpunga, mihogo na mahindi wakati huu hakuna ndege

Bila hivyo huu uwanja utaharibika kwa nyasi ambazo zitafanya ufa
 
Walionywa kuwa huu uwanja hauna tija, sasa angalia sidhani hata kama kuna abiria anayepanda bormabdier kwenda chato, no one is interested na chato imesahaulika mpaka tumekuja juiona
 
Uwanja unatumika na ndege za ATCL zinatua kila Jumatatu, Alhamisi na Jumamosi kushusha na kupakia abiria wanaotoka Dsm na wanaoelekea Dsm kupitia Mwanza
Chato wanafata nini? Mwanza kuna uwanja
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Daah ingekuwa kipindi like ungesakwa na lile Nissan jeupe usiku na mchana hadi upatikane wakupeleke Mikocheni ukaimbe nyimbo zote
Nikikumbuka jiwe alivyokuwa na ulinzi mkali najikuta naanza kuimba "uzio wa umeme mlinzi wa kimasai mbwa mkali tunguli na silaha za kisasa.....

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Hata majengo mengi pale chato hayana kazi wagawiwe wananchi wafugie kuku na mbuzoli tu......

Nchi imepitia wkt mgumu sn kuwa na kiongozi dikteta, mbinafsi, mwizi, mkabila na asiye na utu hata kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…