Unafikiri ndugu ili linaweza kutatua mkwamo.. tukisema mauaji nk sioni kama tutaweza kurudi au kufika tunapo stahili.
Ahsante kwa mchango wako mzuri.Hivi ni kweli kwamba serikali na vyombo vyake ndiyo waliokosea katika ilo tukio baya? Ingawa lengo langu sio kujua nani alikosea bali kurudi njia kuu kama wamoja wa Taifa ili basi...bila shaka kuna watu ndani ya serikali waliomshauri Rais aipitishe nchi ktk njia ya mabavu badala ya maridhiano ya 4R.
..ushauri wa kutumia mabavu ktk siasa utekelezaji wake uliviponyoka vyombo vya dola na kupelekea mauaji ya kutisha ya OCT 29.
..Raisi anapaswa kuomba radhi kwa yaliyotokea. Pia anapaswa kuwawajibisha watu wake waliohusika. Vilevile serikali inapaswa kuwafariji, kuwafuta machozi, na kuwafidia waathirika wote.
Ahsante kwa mchango wako mzuri.Hivi ni kweli kwamba serikali na vyombo vyake ndiyo waliokosea katika ilo tukio baya? Ingawa lengo langu sio kujua nani alikosea bali kurudi njia kuu kama wamoja wa Taifa ili basi.
Kweli mkuu..naomba elimu kidogo katika hoja hii asa uliposema serikali ilijua nini kinaenda kutokea...OCT 29 haikutokea tu bila sababu, wala viashiria.
..Serikali inahusika kwasababu ndio waliokuwa wanalalamikiwa.
..Serikali pia inahusika kwasababu ndio iliyotuma askari waliosababisha mauaji.
..Uharibifu wa mali na miundombinu ulifanywa na raia.
..MAUAJI yalifanywa na Polisi. Na inasikitisha zaidi kwamba wako WATOTO waliuwawa OCT 29.
Ulipoonyesha tu kuwashutumu viongozi wa DINI nikaacha kuendelea kusoma andiko lako.Watanzania wenzangu Mungu ni mwema bila shaka.Leo nimetafakari sana na mwisho wa siku imenibidi niandike ombi na wito kwetu watanzania. Hapana shaka kua kuna mambo ayako sawa sana asa kwenye nyanja ya siasa zetu. Ukweli wa ili jambo, nikupitia kwenye mitandao,maongezi ya watu, stori vijiweni na makazini.
Kuna kauli na mienendo yetu kama watanzania imeanza kupotea kwa kasi kubwa sana. Tangu awali sisi watanzania tume amini kwenye umoja,upendo,mshikamano maana tuna amani kua sisi ni ndugu wa damu,kabila,imani,dini na taifa. Kuna matukio mabaya ambayo yamelipata taifa ili siku za karibuni ,yakibakiza maumivu na hasira baina yetu. Wapo wanaolaumiwa kusababisha wengine kutenda na wengine kukwepa wajibu wao.
Matukio aya yametufanya watanzania tugawanyike kwa kasi kubwa sana na kubaki na chuki,hasira na visasi mpaka kutakiana au kuombea mabaya
Hapa naomba niwakumbushe asa viongozi wa dini na vyama vya siasa kwamba wametufikisha ambako atukupaswa kufika. Ni hatari sana kwetu tuliopo leo na vizazi vingine tukiendelea kulea na kushabikia hasira,chuki,visasi na maumivu. Ni wajibu wa viongozi wetu kua mstari wa mbele kuona tunarudi kwenye utamaduni wetu wa umoja,upendo,amani na undugu.
Utofauti wetu wa itikadi za kisiasa zisivuke mipaka na kusababisha maumivu makali yasiyo futika mioyoni mwetu. Vyama vya siasa vyote vijue kua lengo la hivyo vyama sio kutugombanisha,kutufarakanisha au kutuondolea umoja na undugu wetu bali vyama vinabidi vifanye zaidi kuona tunu zetu zinarudi na kudum vizazi mpaka vizazi.
Kua CCM,CHADEMA,CUF,ACT-Wazalendo ,CHAUMMA nk isiwe tiketi ya kuharibu au kuhatarisha tunu zetu.
NIWAOMBE WATANZANIA TUJIRUDI NA KUWAJIBIKA KULINDA UMOJA WETU,UPENDO,AMANI nk Tukumbuke vita vya panzi faida kwa mwewe/tai.
AKIBAZI-ITAHWA
Mkuu ebu nisome vizuri tena bila kutoa hukumu. Lakini pia viongozi wa dini nao ni watu sio kua wao wanaondolewa ubinadam ata andiko alijawai kusema kua viongozi wa kiroho wao awawezi kukosea nk.KARIBUUlipoonyesha tu kuwashutumu viongozi wa DINI nikaacha kuendelea kusoma andiko lako.
Yaani na kujifanya Mzee wa Busara lakini mpaka leo hujui aliyetufikisha kwenye mkanganyiko huu?
CHAWA
Kweli mkuu..naomba elimu kidogo katika hoja hii asa uliposema serikali ilijua nini kinaenda kutokea.
Je,serikali aikutoa tahadhari au onyo kuhusu ilo?
Je,ilikua sahihi vijana kutumia misukumo ya kwenye social media kufanya vile?
Je,uchaguzi usingefanyika,nani angekua Rais wa nchi kwa mujibu wa Katiba?
Nashukuru wewe ni mtu muhimu,makini na legend hapa jukwaani...karibu
Ni vigumu wananchi wa chini kujenga umoja wa kitaifa wakati viongozi wana maisha tofauti sana na hawajali habari ya kujenga umoja wa kitaifa.Watanzania wenzangu Mungu ni mwema bila shaka.Leo nimetafakari sana na mwisho wa siku imenibidi niandike ombi na wito kwetu watanzania. Hapana shaka kua kuna mambo ayako sawa sana asa kwenye nyanja ya siasa zetu. Ukweli wa ili jambo, nikupitia kwenye mitandao,maongezi ya watu, stori vijiweni na makazini.
Kuna kauli na mienendo yetu kama watanzania imeanza kupotea kwa kasi kubwa sana. Tangu awali sisi watanzania tume amini kwenye umoja,upendo,mshikamano maana tuna amani kua sisi ni ndugu wa damu,kabila,imani,dini na taifa. Kuna matukio mabaya ambayo yamelipata taifa ili siku za karibuni ,yakibakiza maumivu na hasira baina yetu. Wapo wanaolaumiwa kusababisha wengine kutenda na wengine kukwepa wajibu wao.
Matukio aya yametufanya watanzania tugawanyike kwa kasi kubwa sana na kubaki na chuki,hasira na visasi mpaka kutakiana au kuombea mabaya
Hapa naomba niwakumbushe asa viongozi wa dini na vyama vya siasa kwamba wametufikisha ambako atukupaswa kufika. Ni hatari sana kwetu tuliopo leo na vizazi vingine tukiendelea kulea na kushabikia hasira,chuki,visasi na maumivu. Ni wajibu wa viongozi wetu kua mstari wa mbele kuona tunarudi kwenye utamaduni wetu wa umoja,upendo,amani na undugu.
Utofauti wetu wa itikadi za kisiasa zisivuke mipaka na kusababisha maumivu makali yasiyo futika mioyoni mwetu. Vyama vya siasa vyote vijue kua lengo la hivyo vyama sio kutugombanisha,kutufarakanisha au kutuondolea umoja na undugu wetu bali vyama vinabidi vifanye zaidi kuona tunu zetu zinarudi na kudum vizazi mpaka vizazi.
Kua CCM,CHADEMA,CUF,ACT-Wazalendo ,CHAUMMA nk isiwe tiketi ya kuharibu au kuhatarisha tunu zetu.
NIWAOMBE WATANZANIA TUJIRUDI NA KUWAJIBIKA KULINDA UMOJA WETU,UPENDO,AMANI nk Tukumbuke vita vya panzi faida kwa mwewe/tai.
AKIBAZI-ITAHWA
Je tiwape adhabu gani wavunja umoja wetu?Wana unja kwamaneno na pengine hatavitendo kwa kudogosha Yale yanayolenga kurejesha umoja wa taifa na hatomaye kuelekea kwenye tunaita maridhiano na upatilanaji wa katibapya.Watanzania wenzangu Mungu ni mwema bila shaka.Leo nimetafakari sana na mwisho wa siku imenibidi niandike ombi na wito kwetu watanzania. Hapana shaka kua kuna mambo ayako sawa sana asa kwenye nyanja ya siasa zetu. Ukweli wa ili jambo, nikupitia kwenye mitandao,maongezi ya watu, stori vijiweni na makazini.
Kuna kauli na mienendo yetu kama watanzania imeanza kupotea kwa kasi kubwa sana. Tangu awali sisi watanzania tume amini kwenye umoja,upendo,mshikamano maana tuna amani kua sisi ni ndugu wa damu,kabila,imani,dini na taifa. Kuna matukio mabaya ambayo yamelipata taifa ili siku za karibuni ,yakibakiza maumivu na hasira baina yetu. Wapo wanaolaumiwa kusababisha wengine kutenda na wengine kukwepa wajibu wao.
Matukio aya yametufanya watanzania tugawanyike kwa kasi kubwa sana na kubaki na chuki,hasira na visasi mpaka kutakiana au kuombea mabaya
Hapa naomba niwakumbushe asa viongozi wa dini na vyama vya siasa kwamba wametufikisha ambako atukupaswa kufika. Ni hatari sana kwetu tuliopo leo na vizazi vingine tukiendelea kulea na kushabikia hasira,chuki,visasi na maumivu. Ni wajibu wa viongozi wetu kua mstari wa mbele kuona tunarudi kwenye utamaduni wetu wa umoja,upendo,amani na undugu.
Utofauti wetu wa itikadi za kisiasa zisivuke mipaka na kusababisha maumivu makali yasiyo futika mioyoni mwetu. Vyama vya siasa vyote vijue kua lengo la hivyo vyama sio kutugombanisha,kutufarakanisha au kutuondolea umoja na undugu wetu bali vyama vinabidi vifanye zaidi kuona tunu zetu zinarudi na kudum vizazi mpaka vizazi.
Kua CCM,CHADEMA,CUF,ACT-Wazalendo ,CHAUMMA nk isiwe tiketi ya kuharibu au kuhatarisha tunu zetu.
NIWAOMBE WATANZANIA TUJIRUDI NA KUWAJIBIKA KULINDA UMOJA WETU,UPENDO,AMANI nk Tukumbuke vita vya panzi faida kwa mwewe/tai.
AKIBAZI-ITAHWA
Sisi watanganyika ni wajinga sana, inawezekana vipi tunaumizana kwa manufaa ya Mzanzibari Samia na genge lake?? Huyu kiumbe hajui hata anafanya nini kwenye hicho kiti, imeshathibitika kuwa uwezo wake ni mdogo sana.Watanzania wenzangu Mungu ni mwema bila shaka.Leo nimetafakari sana na mwisho wa siku imenibidi niandike ombi na wito kwetu watanzania. Hapana shaka kua kuna mambo ayako sawa sana asa kwenye nyanja ya siasa zetu. Ukweli wa ili jambo, nikupitia kwenye mitandao,maongezi ya watu, stori vijiweni na makazini.
Kuna kauli na mienendo yetu kama watanzania imeanza kupotea kwa kasi kubwa sana. Tangu awali sisi watanzania tume amini kwenye umoja,upendo,mshikamano maana tuna amani kua sisi ni ndugu wa damu,kabila,imani,dini na taifa. Kuna matukio mabaya ambayo yamelipata taifa ili siku za karibuni ,yakibakiza maumivu na hasira baina yetu. Wapo wanaolaumiwa kusababisha wengine kutenda na wengine kukwepa wajibu wao.
Matukio aya yametufanya watanzania tugawanyike kwa kasi kubwa sana na kubaki na chuki,hasira na visasi mpaka kutakiana au kuombea mabaya
Hapa naomba niwakumbushe asa viongozi wa dini na vyama vya siasa kwamba wametufikisha ambako atukupaswa kufika. Ni hatari sana kwetu tuliopo leo na vizazi vingine tukiendelea kulea na kushabikia hasira,chuki,visasi na maumivu. Ni wajibu wa viongozi wetu kua mstari wa mbele kuona tunarudi kwenye utamaduni wetu wa umoja,upendo,amani na undugu.
Utofauti wetu wa itikadi za kisiasa zisivuke mipaka na kusababisha maumivu makali yasiyo futika mioyoni mwetu. Vyama vya siasa vyote vijue kua lengo la hivyo vyama sio kutugombanisha,kutufarakanisha au kutuondolea umoja na undugu wetu bali vyama vinabidi vifanye zaidi kuona tunu zetu zinarudi na kudum vizazi mpaka vizazi.
Kua CCM,CHADEMA,CUF,ACT-Wazalendo ,CHAUMMA nk isiwe tiketi ya kuharibu au kuhatarisha tunu zetu.
NIWAOMBE WATANZANIA TUJIRUDI NA KUWAJIBIKA KULINDA UMOJA WETU,UPENDO,AMANI nk Tukumbuke vita vya panzi faida kwa mwewe/tai.
AKIBAZI-ITAHWA
Uchangiaji wako sio mzuri ni unafuraia masoko yale yale ambayo unayakemeaSisi watanganyika ni wajinga sana, inawezekana vipi tunaumizana kwa manufaa ya Mzanzibari Samia na genge lake?? Huyu kiumbe hajui hata anafanya nini kwenye hicho kiti, imeshathibitika kuwa uwezo wake ni mdogo sana.
Nina uhakika hata hajui nchi inataka nini, au eneo fulani au wilaya fulani au mkoa fulani mahitaji yake ni yapi.
Hii nchi ina wenyewe na wenyewe ni CCM.Watanzania wenzangu Mungu ni mwema bila shaka.Leo nimetafakari sana na mwisho wa siku imenibidi niandike ombi na wito kwetu watanzania. Hapana shaka kua kuna mambo ayako sawa sana asa kwenye nyanja ya siasa zetu. Ukweli wa ili jambo, nikupitia kwenye mitandao,maongezi ya watu, stori vijiweni na makazini.
Kuna kauli na mienendo yetu kama watanzania imeanza kupotea kwa kasi kubwa sana. Tangu awali sisi watanzania tume amini kwenye umoja,upendo,mshikamano maana tuna amani kua sisi ni ndugu wa damu,kabila,imani,dini na taifa. Kuna matukio mabaya ambayo yamelipata taifa ili siku za karibuni ,yakibakiza maumivu na hasira baina yetu. Wapo wanaolaumiwa kusababisha wengine kutenda na wengine kukwepa wajibu wao.
Matukio aya yametufanya watanzania tugawanyike kwa kasi kubwa sana na kubaki na chuki,hasira na visasi mpaka kutakiana au kuombea mabaya
Hapa naomba niwakumbushe asa viongozi wa dini na vyama vya siasa kwamba wametufikisha ambako atukupaswa kufika. Ni hatari sana kwetu tuliopo leo na vizazi vingine tukiendelea kulea na kushabikia hasira,chuki,visasi na maumivu. Ni wajibu wa viongozi wetu kua mstari wa mbele kuona tunarudi kwenye utamaduni wetu wa umoja,upendo,amani na undugu.
Utofauti wetu wa itikadi za kisiasa zisivuke mipaka na kusababisha maumivu makali yasiyo futika mioyoni mwetu. Vyama vya siasa vyote vijue kua lengo la hivyo vyama sio kutugombanisha,kutufarakanisha au kutuondolea umoja na undugu wetu bali vyama vinabidi vifanye zaidi kuona tunu zetu zinarudi na kudum vizazi mpaka vizazi.
Kua CCM,CHADEMA,CUF,ACT-Wazalendo ,CHAUMMA nk isiwe tiketi ya kuharibu au kuhatarisha tunu zetu.
NIWAOMBE WATANZANIA TUJIRUDI NA KUWAJIBIKA KULINDA UMOJA WETU,UPENDO,AMANI nk Tukumbuke vita vya panzi faidaewe. Na kwa mwewe/tai.
AKIBAZI-ITAHWA
Upuuzi mtupu , hii nchi inahitaji armed struggle na civil war kati ya common citizens vs rulling class vibaka wa serikali haramu ya ccm na machawa na vibaraka wao . PeriodAhsante kwakuona sijaandika chochote ila umeweza kujadili nilicho kiandika. Tukitaka kutoka tulipo kwama na kupiga hatua kamwe atuwezi kutoka kama tujikita zaidi kulaumiana,kutafuta visasi,hasira nk. Ni sahihi sana tukajikita kwenye kuliponya Taifa ili tena bila jazba au kiburi. Jazba na kiburi ni ishara mbaya ambayo inaweza kutufanya tushindwe kujikwamua na ili . Ushauri ,wakati mwingine tunaweza kutafakari zaidi kuliko kukimbilia kujibizana nk
AKIBAZI-ITAHWA
Aisee yaani unataka tuwe kama DR-Congo? Vipi huko DR-Congo hiyo suluhu imeweza kutatua matatizo yao....Upuuzi mtupu , hii nchi inahitaji armed struggle na civil war kati ya common citizens vs rulling class vibaka wa serikali haramu ya ccm na machawa na vibaraka wao . Period
Tuko katika point of no return .Nchi imeoza na inanuka uharibifu na uozo wa hawa vibaka serikali haramu ya ccm