Ombi: Tutambuane kwa sura hapa MMU

Inawezekana kabisa.

Kuna siku nilikuwa Boogie Woogie nimekaa kwa nje halafu kwa ndani alikuwa kakaa mdingi mmoja hivi. na tablet yake.

Mimi nilikuwa nipo nasoma JF kwenye iPad yangu naye alikuwa anasoma JF kwenye kifaa chake.

Nikajaribu kula chabo kuona ni nani lakini sikufanikiwa. Alikuwa mjanja kweli.

Nikabaki na maswali tu sijui atakuwa nani huyo!
 
Weka wese....mi ukitaka kuona ntakuja na id mpya yenye jina halisi na sitajuwa na comment ki jf ntaishia kutangaza shuguli zangu ili npate wateja......ila hivihuvi hutakuja ona ntaficha id...
 
Sioni sababu, hapa ni kwa wakubwa mambo ya kuanza kujitangaza na maselfie huko na kujuana ni fb, na mengine,
 
Sio Kiranga uyo? [emoji12] [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…