the say
JF-Expert Member
- Oct 25, 2014
- 2,772
- 3,360
Alikuwa n nyani ngabu huyo broInawezekana kabisa.
Kuna siku nilikuwa Boogie Woogie nimekaa kwa nje halafu kwa ndani alikuwa kakaa mdingi mmoja hivi. na tablet yake.
Mimi nilikuwa nipo nasoma JF kwenye iPad yangu naye alikuwa anasoma JF kwenye kifaa chake.
Nikajaribu kula chabo kuona ni nani lakini sikufanikiwa. Alikuwa mjanja kweli.
Nikabaki na maswali tu sijui atakuwa nani huyo!