Ombi: Tutambuane kwa sura hapa MMU

Ombi: Tutambuane kwa sura hapa MMU

Inawezekana kabisa.

Kuna siku nilikuwa Boogie Woogie nimekaa kwa nje halafu kwa ndani alikuwa kakaa mdingi mmoja hivi. na tablet yake.

Mimi nilikuwa nipo nasoma JF kwenye iPad yangu naye alikuwa anasoma JF kwenye kifaa chake.

Nikajaribu kula chabo kuona ni nani lakini sikufanikiwa. Alikuwa mjanja kweli.

Nikabaki na maswali tu sijui atakuwa nani huyo!
Labda le akil kubwaz le mutuz!
 
Sitakuja kuonekana sura yangu humu hata cku moja, ila fb ningekwambia natumia jina gani hata hivyo sitaki.
 
1469306126062.jpg


Mimi huyu hapo
 
Back
Top Bottom