Alikuwa n nyani ngabu huyo broInawezekana kabisa.
Kuna siku nilikuwa Boogie Woogie nimekaa kwa nje halafu kwa ndani alikuwa kakaa mdingi mmoja hivi. na tablet yake.
Mimi nilikuwa nipo nasoma JF kwenye iPad yangu naye alikuwa anasoma JF kwenye kifaa chake.
Nikajaribu kula chabo kuona ni nani lakini sikufanikiwa. Alikuwa mjanja kweli.
Nikabaki na maswali tu sijui atakuwa nani huyo!
Sio vizuri mkuu,anaitwa nani ? kama ni mkali nimwibukie
mke wangu huyu we unamzalilishaYangu hii ila View attachment 370445
Alikukwa MussolinInawezekana kabisa.
Kuna siku nilikuwa Boogie Woogie nimekaa kwa nje halafu kwa ndani alikuwa kakaa mdingi mmoja hivi. na tablet yake.
Mimi nilikuwa nipo nasoma JF kwenye iPad yangu naye alikuwa anasoma JF kwenye kifaa chake.
Nikajaribu kula chabo kuona ni nani lakini sikufanikiwa. Alikuwa mjanja kweli.
Nikabaki na maswali tu sijui atakuwa nani huyo!
Mi pia ila mbona umebania?Mimi navunja mwiko
Ombi langu kwenu.
Mnaonaje kama tukiamua kufahamiana kwa sura zetu?
Maana inawezekana tunaishi mtaa mmoja, tunasoma shule/chuo kimoja, tunapanda daladala moja, ni ndugu, ni marafiki na labda tupo ofisi moja
haaa weweKuna mmoja nimemfuma jana tena mdada mzurii flani hivi machachari sana humu jf, alikua kwa shop kwangu kkoo kununua vitu, nkampiga chabo kiaina, kuna kitu alipost akiwa pale.
Nini!?haaa wewe
Yaani member wa jf wanavyoficha hizo ID wanazotumia... Ngumu kujua.Inawezekana kabisa.
Kuna siku nilikuwa Boogie Woogie nimekaa kwa nje halafu kwa ndani alikuwa kakaa mdingi mmoja hivi. na tablet yake.
Mimi nilikuwa nipo nasoma JF kwenye iPad yangu naye alikuwa anasoma JF kwenye kifaa chake.
Nikajaribu kula chabo kuona ni nani lakini sikufanikiwa. Alikuwa mjanja kweli.
Nikabaki na maswali tu sijui atakuwa nani huyo!
Alikuwa ; watu8Inawezekana kabisa.
Kuna siku nilikuwa Boogie Woogie nimekaa kwa nje halafu kwa ndani alikuwa kakaa mdingi mmoja hivi. na tablet yake.
Mimi nilikuwa nipo nasoma JF kwenye iPad yangu naye alikuwa anasoma JF kwenye kifaa chake.
Nikajaribu kula chabo kuona ni nani lakini sikufanikiwa. Alikuwa mjanja kweli.
Nikabaki na maswali tu sijui atakuwa nani huyo!
Dah....labda tuweke picha za pap...au dush, maana ndiyo vya muhimu [emoji41]
Mashallah......Mimi navunja mwiko
YallaaaaaaaaaaaahhhMimi navunja mwiko