Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
Linda sana kinywa chako...! Kwakuwa maneno hayana rivasi, ni Kama risasi ikitoka imetoka...
Tamshi moja la maneno machache kabisa.. Linaweza kuokoa roho mia hilohilo linaweza kuangamiza roho elfu
Ukiwa umezungukwa na wawili.. Mmoja anakukosoa sana na mwingine anakusifu sana! Pokea shukrani za anayekusifu.. Lakini fanyia kazi maneno ya mkosoaji wako!
Kuna nyakati zinaitwa nyakati za Mungu.. Yaani zinapotaka kutimia hakuna wa kuzizuia.. Ni Kama ile misemo ya Waswahel
1. Siku ya kufa nyani miti yote huteleza
2. Sikio la kufa halisikii dawa!
Nyani ni mnyama mchokonozi na mharibifu wa mazao shambani.. Lakini silaha yake kuu ukitaka kumdaka hukimbilia juu ya miti mitefu anajua huwezi kufika huko.. Lakini zake za kukamatwa zikitimia..kila mti anaotaka kuparamia huteleza na hatimaye kutiwa mbaroni na kupata stahiki yake!
Kwenye jumuiko la kaya kuna daraja kati ya wakubwa na wadogo.. Hili daraja huwa ni muhimu sana kwa ajili ya kuwezesha na kurahisisha mawasiliano kati ya pande mbili.. Lakini hili daraja lisiposimamimiwa vema ndio huzaa daraja lingine dogo lisilo rasmi ambalo sasa hili sasa hufanya mambo ya ajabu na ya kishenzi
Kwa sasa Tanganyika inateswa na hili kundi ambalo mamlaka ya juu kwa kujua ama kutojua linawapa full support.. Ile amendment ilyofanyika ya kitengo kuwa na kinga imetumiwa vizuri sana na hili daraja
Hili daraja ndio kwasasa linapiga mpaka limevimbiwa na sasa limeanza kujisahau na kuharibu.. Na matokeo yake hasi yameanza kuonekana
Sakata na majirani
Kudukuliwa kea organs muhimu za serikali
Kuvujishwa kwa taarifa nyeti za kibenki za wateja..
Hii ni indicator tuu Kama ishara ya kwamba waliochoka si wananchi tuu bali mpaka huko ndani kabisa!
Ombwe la kiutawala litazidi kuonekana
Mahoka ya kisiasa yataongezeka sana
Utashi wa maamuzi yenye tija utakuwa shakani
Mungu ibariki Tanganyika...!!!