Ommy Dimpoz afunguka kuhusu gharama alizotumia hadi kupiga picha na Rooney

Acha kuwadanganya wa TZ ukifikiri wote ni wajinga na wewe ndie wa kwanza kwenda ibiza! Euro 10,000 to book a table? my foot! huo upuuuzi peleka kwenye magazeti ya udaku
Yaani kama nakuona ulivyokuwa ukifyonza na kusonya waqt unaandika comment hii!
Huu ndio ulimbukeni wa wasanii wetu wengi anakwambia baada ya kupiga kazi unatakiwa upumzike hiyo kazi aliopiga ipo wapi ni huu huu mziki au kazi nyingine?
 
nilikuwa naimba tuu wimbo wa joh makini "olele" pale "sherehe zikianzia arusha na kuishia ibiza" nilikuwa sijui chochote kuhusu Ibiza,kumbe ni bata mamtoni.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu wewe si ulifanikiwa kumuona??..tofauti ni kuwa Rooney wa O.T ana kilo 106 na yule Rooney wa dimpoz ana kilo 12 tu..
 
Mkuu wewe si ulifanikiwa kumuona??..tofauti ni kuwa Rooney wa O.T ana kilo 106 na yule Rooney wa dimpoz ana kilo 12 tu..
Nilimuona wa kwenye picha na dimpoz mkuu.
 
Duuh kweli ommy mjinga, kwa wakati huu udanganye bei za club maarufu kama hiyo wakati details zote ziko mtandaoni siyo kama billicanas unategemea nini.
Hakuna hata meza ambayo booking yake kwa kichwa kimoja inafika hata euro 1000 sasa yeye kasema euro 10,000.
Bora angeendelea tudanganya na hizo video zao za south africa maana ngumu thibitisha
 
hotel ghali hapo zenj kulala dollar 1000 max,asitudanganye hapo dollar 10000
 
mi simlaumu sana inawezekana walimuona boya ndo wakampiga hela hyo,sishangai,
 
Wasanii wa bongo kwa sifa za kijinga bhana.. Unajisifia kulipa 25m alaf ukirud bongo jumba la kupanga.. Hata show yenyewe ukipiga hulipwi ivo...
akili zao wamewekeza kuuza sura social media hawana lolote laba kaka yao diamond nd angalau kdg
 
Wasanii igiza, picha za Ibiza.
Promo kujibiza, janja nyingi mbele kiza.
Akili nahimiza, sivyo dunia italiza.
Tambo laning'iniza, si bata kwa Pizza.
Mamilioni Ibiza bila hata kibanda Sinza?
Habari inatatiza.
Bora wende Uvinza, chimba chumvi gawiza.
Dimpo ka Aziza.
Wannabe Yeezus!
 
Uncle na we unataka ukatumie euro 10000 kwa ajili ya lunch??
Hahaha euro elfu kumi wapi ?? Huko Ibiza kuna maeneo ya walalahoi tu kama bongo kuna wanaoenda level 8 Kempisky wengine Coco beach kwenye mihogo ,Omy matobo asikutishe na euro zake elfu kumi sijui za meza moja

Nachotaka ni kula Lobsters ,drinking Margaritas and Banging Sinoritas for a day or two nageuka zangu
 
Teh teh..Kumbe ommy matobo anatujambisha tu..Basi we ukienda ukirudi na mi ntafunga safari..Mi ntaenda kudili na masinyorita tu
 
Teh teh..Kumbe ommy matobo anatujambisha tu..Basi we ukienda ukirudi na mi ntafunga safari..Mi ntaenda kudili na masinyorita tu
Ommy Matobo sifa nyingi tu yaani meza moja euro elfu 10 ?? Labda msosi ilikua I Phone 6S na desert ya Samsung note 6 hapo hawaja cruise na Yatch ,hawaja lipia hotel ya kulala achana na tickets za ndege ,ukijumlisha hayo yote si atakua ametumia euro laki ?? Amesahau pia kutudanganya kalala kwenye Presidential Suits ...
 
Teh teh..Kumbe ommy matobo anatujambisha tu..Basi we ukienda ukirudi na mi ntafunga safari..Mi ntaenda kudili na masinyorita tu
Leo unalala jikoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…