Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,135
- 48,827
Hivi kajenga au bado kapanga?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani kama nakuona ulivyokuwa ukifyonza na kusonya waqt unaandika comment hii!Acha kuwadanganya wa TZ ukifikiri wote ni wajinga na wewe ndie wa kwanza kwenda ibiza! Euro 10,000 to book a table? my foot! huo upuuuzi peleka kwenye magazeti ya udaku
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila yule jamaa alifanana na Rooney Sana..
Mkuu wewe si ulifanikiwa kumuona??..tofauti ni kuwa Rooney wa O.T ana kilo 106 na yule Rooney wa dimpoz ana kilo 12 tu..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilimuona wa kwenye picha na dimpoz mkuu.Mkuu wewe si ulifanikiwa kumuona??..tofauti ni kuwa Rooney wa O.T ana kilo 106 na yule Rooney wa dimpoz ana kilo 12 tu..
akili zao wamewekeza kuuza sura social media hawana lolote laba kaka yao diamond nd angalau kdgWasanii wa bongo kwa sifa za kijinga bhana.. Unajisifia kulipa 25m alaf ukirud bongo jumba la kupanga.. Hata show yenyewe ukipiga hulipwi ivo...
Uncle na we unataka ukatumie euro 10000 kwa ajili ya lunch??Ila Ibiza jamani ! Ipo siku
Hahaha euro elfu kumi wapi ?? Huko Ibiza kuna maeneo ya walalahoi tu kama bongo kuna wanaoenda level 8 Kempisky wengine Coco beach kwenye mihogo ,Omy matobo asikutishe na euro zake elfu kumi sijui za meza mojaUncle na we unataka ukatumie euro 10000 kwa ajili ya lunch??
Teh teh..Kumbe ommy matobo anatujambisha tu..Basi we ukienda ukirudi na mi ntafunga safari..Mi ntaenda kudili na masinyorita tuHahaha euro elfu kumi wapi ?? Huko Ibiza kuna maeneo ya walalahoi tu kama bongo kuna wanaoenda level 8 Kempisky wengine Coco beach kwenye Mihogo ,Omy matobo asikutishe na euro zake elfu kumi sijui za meza moja
Nachotaka ni kula Lobsters ,drinking Margaritas and Banging Sinoritas for a day or two nageuka zangu
Ommy Matobo sifa nyingi tu yaani meza moja euro elfu 10 ?? Labda msosi ilikua I Phone 6S na desert ya Samsung note 6 hapo hawaja cruise na Yatch ,hawaja lipia hotel ya kulala achana na tickets za ndege ,ukijumlisha hayo yote si atakua ametumia euro laki ?? Amesahau pia kutudanganya kalala kwenye Presidential Suits ...Teh teh..Kumbe ommy matobo anatujambisha tu..Basi we ukienda ukirudi na mi ntafunga safari..Mi ntaenda kudili na masinyorita tu
Leo unalala jikoni.Teh teh..Kumbe ommy matobo anatujambisha tu..Basi we ukienda ukirudi na mi ntafunga safari..Mi ntaenda kudili na masinyorita tu