Chachasteven
JF-Expert Member
- Jul 4, 2014
- 1,941
- 2,044
Keshaathirika na sumu ya mama
Kabisa, mkuu. Sema u supastaa mzigo wa mwiba. Kuna maisha fulan ivi hauwi huru kabisa.Katika hili Clouds wanapaswa kuomba radhi
Kwa upande mmoja yupo sawa, mkuu. Imagine mama yake alikata moto akiwa darasa la pili halafu mzee akamkaushiaga ivoivo!Keshaathirika na sumu ya mama
😂😂 Mkuu unanivunja mbavuHata diamond asingetelekezwa asingekuwa star
Connection hapo ikoje?Ndo maana jamaa hataki kuoa
Aliyopitia hataki kuyafutaConnection hapo ikoje?
Hajamkana amesema hawana ukaribu na hana mapenzi nayeOmmy Dimpoz ameachia ujumbe baada ya baba take kutengeneza headlines mitandaoni. Mwishoni mwa video ameeleza wazi baba yake hakumjali hivyo hana sababu ya kumfahamu kama baba ingawa anamheshimu. Full story ipo hapa:
Ila ukimsikiliza vema ana trauma ya kukosa mapenzi ya babaKeshaathirika na sumu ya mama
KILA jambo huja kwa sababu sema wengi utazama zaidi negative😂😂 Mkuu unanivunja mbavu
Kwahiyo wanaotelekezwa wanakuwa mastaa!!akili hizi basi tu.Chid Benz nae ni staaa,maana alitelekezwa,sasa hv Kawa Teja tuHata diamond asingetelekezwa asingekuwa star