Ommy Dimpoz amkana baba yake

Ommy Dimpoz amkana baba yake

Chachasteven

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2014
Posts
1,941
Reaction score
2,044
Ommy Dimpoz ameachia ujumbe baada ya baba yake kutengeneza headlines mitandaoni. Mwishoni mwa video ameeleza wazi baba yake hakumjali hivyo hana sababu ya kumfahamu kama baba ingawa anamheshimu.

Full story ipo hapa:

 
Ommy Dimpoz ameachia ujumbe baada ya baba take kutengeneza headlines mitandaoni. Mwishoni mwa video ameeleza wazi baba yake hakumjali hivyo hana sababu ya kumfahamu kama baba ingawa anamheshimu. Full story ipo hapa:

Hajamkana amesema hawana ukaribu na hana mapenzi naye

Sent from my LM-V500N using JamiiForums mobile app
 
Vinavyoua upendo kwa mzazi
1.Kutelekezwa utotoni
2.Talaka hapa baba na mama nyote msitegemee kupata upendo toka kwa watoto,
 
Sema watu utazama zaidi negativity, hivi kwa mfano mzazi alikutelekeza then ukalazimika ukapambana na hadi ukatoboa kwa hasira, Mimi binafsi kama positive man lazima nikurespect mzazi kwamba kunitelekeza kwako ndipo kumenifanya nifanikiwe, maana ungenilea vyema nisingekaza ningekuwa labda bodaboda, dereva au muajiriwa fulani masikini hivi.
So dimpos, diamond, Elon musk, luck dube wawashukuru baba zao kutokuwa karibu nao kumewafanya watoboe.
 
Back
Top Bottom