Chachasteven
JF-Expert Member
- Jul 4, 2014
- 1,941
- 2,044
- Thread starter
-
- #41
Ndiyo maana haishauriwi kujudge makosa ya mtu kama haujavaa viatu vyake. Ommy anaweza akawa anamlaumu mshua, ila ukichimba kwa ndani sana unakuta Mama ndiyo alizingua. Sema mambo mengine huwa hayasemwi tu.Apige chini kabisa na jina la baba yake atumie la ujombani.
Ngoja aingie kwenye ndoa ndo ataelewa sometimes baba zetu wapo right.
In one way or another achana na mwanamke, sio mtoto, mzee. Akikua usimtelekeze mtafute muoneshe haukumpuuza kwa maksudi, ila mazingira ya mama yake ndiyo yalisababisha. Ukisema umyuti baadae ndiyo haya ya Nyembo sasa.Kuna mambo mengine wanawake wanayatengeneza wenyewe mimi mwanangu sijawahi hata mgusa zaidi ya kupewa picha mbili tatu tena kwa mbinde sana, mama yake ni kiburi tuu kimemjaa kisa kwao uwezo upo mtu anakaa kibaha anataka kuandikisha clinic lugalo nikahoji huko kibaha hakuna hospitali??
Akajibu ooh kugalo hospitali tunayoitumia familia nikamwambia huoni kwamba utajitesa na mambo ya nauli akadai atapelekwa na mamaake mdogo usafiri upo nikatulia nisikilizie siku ya clinic sasa anataka nauli sijui sasa hapo nilimpaga hela ya vifaa ili akiamua kwenda mambo yakae sawa siku ya kwenda anataka nauli hela ya clinic vifaa ile anadai alikula so jumla 270k kila kitu nikamwambia sina hela iyo nilichukia sana.
Ila ni kama ilikuwa sababu akaniambia namchukulia kama ana njaa sana basi nitulize nione kama ataniomba tena, akanilia buyu nikajua labda hasira za mimba mwee ndo ikawa ntolee iyo..nikimwambia nikutumie hela za kujikimu anadai Bi mkubwa wake kashalipa hana shida mapaka anajifungua ni kuchuniwa.. mwenyewe nikaona nibalansi shobo tu.
Muhimu sana hii.Tujifunze kusamehe😀
Haya mambo huwa na msemaji upande mmoja tu ukibalance story lazima mama kazinguaNdiyo maana haishauriwi kujudge makosa ya mtu kama haujavaa viatu vyake. Ommy anaweza akawa anamlaumu mshua, ila ukichimba kwa ndani sana unakuta Mama ndiyo alizingua. Sema mambo mengine huwa hayasemwi tu.
Kushindwa kusamehe ndio udhaifu mkubwa kupita yote hii inamaanisha hajakomaa hawezi kustahimir magumu zaidi. Kufumbia macho mabaya na kubeba maumivu bila kisasi ndio upendo mkubwa zaidi unaoweza kumwonyesha mtu.Tujifunze kusamehe[emoji3]
Mwanaume kutwa unajipodoa means bado ujakuaKushindwa kusamehe ndio udhaifu mkubwa kupita yote hii inamaanisha hajakomaa hawezi kustahimir magumu zaidi. Kufumbia macho mabaya na kubeba maumivu bila kisasi ndio upendo mkubwa zaidi unaoweza kumwonyesha mtu.
Kweli sijawahi kuskia mtoto akimkataa Baba tajiri kwa madai kwamba alimtelekeza mama yake, Lakini watoto wakitajirika wanawakataa Baba maskini kwa kigezo cha Utelekezwaji.Mimi naangalia kwa upande huu; Baba akiwa amefanikiwa na mtoto hali ngumu, bado mtoto angezungumza kama anavyosema sasa?
Naungana na wewe, Hawa vijana wa Kizazi cha Make Up wana akili za kike sanaaaa. Imeandikwa tuwatii wazazi sio wazazi wawatii watoto. Mzazi haijalish kafanya nini ni wajibu wako kutafuta suruhu ili upendo udumu.Mwanaume kutwa unajipodoa means bado ujakua
Jibu swali, aliyekuzaa ni nani? Aliyebeba mimba miezi tisa akakuzaa ni nani?Yule aliyezoeleka
Duuh...ila inakuuma mkuu uwongo?Kuna mambo mengine wanawake wanayatengeneza wenyewe mimi mwanangu sijawahi hata mgusa zaidi ya kupewa picha mbili tatu tena kwa mbinde sana, mama yake ni kiburi tuu kimemjaa kisa kwao uwezo upo mtu anakaa kibaha anataka kuandikisha clinic lugalo nikahoji huko kibaha hakuna hospitali??
Akajibu ooh kugalo hospitali tunayoitumia familia nikamwambia huoni kwamba utajitesa na mambo ya nauli akadai atapelekwa na mamaake mdogo usafiri upo nikatulia nisikilizie siku ya clinic sasa anataka nauli sijui sasa hapo nilimpaga hela ya vifaa ili akiamua kwenda mambo yakae sawa siku ya kwenda anataka nauli hela ya clinic vifaa ile anadai alikula so jumla 270k kila kitu nikamwambia sina hela iyo nilichukia sana.
Ila ni kama ilikuwa sababu akaniambia namchukulia kama ana njaa sana basi nitulize nione kama ataniomba tena, akanilia buyu nikajua labda hasira za mimba mwee ndo ikawa ntolee iyo..nikimwambia nikutumie hela za kujikimu anadai Bi mkubwa wake kashalipa hana shida mapaka anajifungua ni kuchuniwa.. mwenyewe nikaona nibalansi shobo tu..
kwan baba ake anaitwa dimpoz ?Ila bado ana u bin wa baba
Eti kitendo cha kukuzaa ni fully respect [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Pana jamaa yangu ajamuona mwanae mwaka wa tano huu na mke alifunga nae ndoa ya kanisa kabisa, jamaa alipoyumba wife ana Kazi amekula kona, jamaa akimpelekea ex wife labda laki ya matumizi ya mtoto ex wife ana ongeza na 20 ya juu kisha anamtupia jamaa. Jamaa kaona usiwe tabu akavuta wife mwingine kazaa nae watoto wawili. So wakati mwingine wanawake ndio uzingua hatupaswi kuingia bifu za wazazi maana still baba angeweza akapiga punyeto usizaliwe. Kitendo tu cha kukuzaaa ni fully respect achilia ishu ya malezi. Pili mwanadamu maturity huwa atazami ya jana yashapita hayo. SAsa unashikilia maumivu hata kuoa utaki kisa unafikiria ulivyosota.
Unaweza ukalea na akapigwa sumu tu vizuri.Eti kitendo cha kukuzaa ni fully respect [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hutunzi unazaa tu we umekuwa panyaa? Hata panya analea asee
Ishu sio kuzaa ni kulea, fanya majukumu ya kibaba
Issue ni kuzaa si kulea, Baba na Mama ni wale wanaokuzaa. Unaweza ukalelewa hata mituo cha polisi na Maaskali lakini huwez kuwataja kama Baba na Mama yakoEti kitendo cha kukuzaa ni fully respect [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hutunzi unazaa tu we umekuwa panyaa? Hata panya analea asee
Ishu sio kuzaa ni kulea, fanya majukumu ya kibaba