Ommy Dimpoz amkana baba yake

Ommy Dimpoz amkana baba yake

Apige chini kabisa na jina la baba yake atumie la ujombani.
Ngoja aingie kwenye ndoa ndo ataelewa sometimes baba zetu wapo right.
Ndiyo maana haishauriwi kujudge makosa ya mtu kama haujavaa viatu vyake. Ommy anaweza akawa anamlaumu mshua, ila ukichimba kwa ndani sana unakuta Mama ndiyo alizingua. Sema mambo mengine huwa hayasemwi tu.
 
Vijana wapumbavu wamekua wengi sana kizazi hiki cha Mashogo
Baba Unamkana Baba? No matter what and when Hakupaswa kufanya hivyo
 
Kuna mambo mengine wanawake wanayatengeneza wenyewe mimi mwanangu sijawahi hata mgusa zaidi ya kupewa picha mbili tatu tena kwa mbinde sana, mama yake ni kiburi tuu kimemjaa kisa kwao uwezo upo mtu anakaa kibaha anataka kuandikisha clinic lugalo nikahoji huko kibaha hakuna hospitali??

Akajibu ooh kugalo hospitali tunayoitumia familia nikamwambia huoni kwamba utajitesa na mambo ya nauli akadai atapelekwa na mamaake mdogo usafiri upo nikatulia nisikilizie siku ya clinic sasa anataka nauli sijui sasa hapo nilimpaga hela ya vifaa ili akiamua kwenda mambo yakae sawa siku ya kwenda anataka nauli hela ya clinic vifaa ile anadai alikula so jumla 270k kila kitu nikamwambia sina hela iyo nilichukia sana.

Ila ni kama ilikuwa sababu akaniambia namchukulia kama ana njaa sana basi nitulize nione kama ataniomba tena, akanilia buyu nikajua labda hasira za mimba mwee ndo ikawa ntolee iyo..nikimwambia nikutumie hela za kujikimu anadai Bi mkubwa wake kashalipa hana shida mapaka anajifungua ni kuchuniwa.. mwenyewe nikaona nibalansi shobo tu.
In one way or another achana na mwanamke, sio mtoto, mzee. Akikua usimtelekeze mtafute muoneshe haukumpuuza kwa maksudi, ila mazingira ya mama yake ndiyo yalisababisha. Ukisema umyuti baadae ndiyo haya ya Nyembo sasa.
 
Ndiyo maana haishauriwi kujudge makosa ya mtu kama haujavaa viatu vyake. Ommy anaweza akawa anamlaumu mshua, ila ukichimba kwa ndani sana unakuta Mama ndiyo alizingua. Sema mambo mengine huwa hayasemwi tu.
Haya mambo huwa na msemaji upande mmoja tu ukibalance story lazima mama kazingua
 
Wanawake ni Wangese tu, Kuanzia Hawa mpaka wale.
Mwanaumwe mwenue akili timamu huwez kumtupa Mzee wako kwa Visa vyake na Mkewe(Mamaako)
Wanawake wana maudhi na ni wanafiki sana watakupotosha leo lakini badae utajuta sanaaa utamlilia saana Baba yako akiwa amekwisha tangulia mbele za haki.

Huwa nashauri sana Msamaha upite kwa haraka hasa kati ya wanafamilia pind mmoja anapojirudi bila kujali ukubwa wa kosa lake na maumivu aliyosababisha kwa Maana damu yake ni sehemu ya wanafamilia. Siku akipotea lazima familia itikisike japo hakuonekana wa thaman alipokua hai.
Aga namsubir Boya Diamond siku atakapopanua domo misri ya Simba aliekumbwa na Majanga.
 
Tujifunze kusamehe[emoji3]
Kushindwa kusamehe ndio udhaifu mkubwa kupita yote hii inamaanisha hajakomaa hawezi kustahimir magumu zaidi. Kufumbia macho mabaya na kubeba maumivu bila kisasi ndio upendo mkubwa zaidi unaoweza kumwonyesha mtu.
 
Pana jamaa yangu ajamuona mwanae mwaka wa tano huu na mke alifunga nae ndoa ya kanisa kabisa, jamaa alipoyumba wife ana Kazi amekula kona, jamaa akimpelekea ex wife labda laki ya matumizi ya mtoto ex wife ana ongeza na 20 ya juu kisha anamtupia jamaa. Jamaa kaona usiwe tabu akavuta wife mwingine kazaa nae watoto wawili. So wakati mwingine wanawake ndio uzingua hatupaswi kuingia bifu za wazazi maana still baba angeweza akapiga punyeto usizaliwe. Kitendo tu cha kukuzaaa ni fully respect achilia ishu ya malezi. Pili mwanadamu maturity huwa atazami ya jana yashapita hayo. SAsa unashikilia maumivu hata kuoa utaki kisa unafikiria ulivyosota.
 
Mwanaume kutwa unajipodoa means bado ujakua
 
Mimi naangalia kwa upande huu; Baba akiwa amefanikiwa na mtoto hali ngumu, bado mtoto angezungumza kama anavyosema sasa?
Kweli sijawahi kuskia mtoto akimkataa Baba tajiri kwa madai kwamba alimtelekeza mama yake, Lakini watoto wakitajirika wanawakataa Baba maskini kwa kigezo cha Utelekezwaji.
Hii ni direct imbalacement.
 
Mwanaume kutwa unajipodoa means bado ujakua
Naungana na wewe, Hawa vijana wa Kizazi cha Make Up wana akili za kike sanaaaa. Imeandikwa tuwatii wazazi sio wazazi wawatii watoto. Mzazi haijalish kafanya nini ni wajibu wako kutafuta suruhu ili upendo udumu.

Kuna wimbo wa Ambwene mwasongwe Mwamba alichapiwa mke wake na Baba ake mzazi lakini MUNGU alimtaka kijana arudi akamwombe Baba ake msamaha ilihali yeye ndie kakosewa.
 
Kuna mambo mengine wanawake wanayatengeneza wenyewe mimi mwanangu sijawahi hata mgusa zaidi ya kupewa picha mbili tatu tena kwa mbinde sana, mama yake ni kiburi tuu kimemjaa kisa kwao uwezo upo mtu anakaa kibaha anataka kuandikisha clinic lugalo nikahoji huko kibaha hakuna hospitali??

Akajibu ooh kugalo hospitali tunayoitumia familia nikamwambia huoni kwamba utajitesa na mambo ya nauli akadai atapelekwa na mamaake mdogo usafiri upo nikatulia nisikilizie siku ya clinic sasa anataka nauli sijui sasa hapo nilimpaga hela ya vifaa ili akiamua kwenda mambo yakae sawa siku ya kwenda anataka nauli hela ya clinic vifaa ile anadai alikula so jumla 270k kila kitu nikamwambia sina hela iyo nilichukia sana.

Ila ni kama ilikuwa sababu akaniambia namchukulia kama ana njaa sana basi nitulize nione kama ataniomba tena, akanilia buyu nikajua labda hasira za mimba mwee ndo ikawa ntolee iyo..nikimwambia nikutumie hela za kujikimu anadai Bi mkubwa wake kashalipa hana shida mapaka anajifungua ni kuchuniwa.. mwenyewe nikaona nibalansi shobo tu..
Duuh...ila inakuuma mkuu uwongo?

Hiyo ni damu yako
 
Pana jamaa yangu ajamuona mwanae mwaka wa tano huu na mke alifunga nae ndoa ya kanisa kabisa, jamaa alipoyumba wife ana Kazi amekula kona, jamaa akimpelekea ex wife labda laki ya matumizi ya mtoto ex wife ana ongeza na 20 ya juu kisha anamtupia jamaa. Jamaa kaona usiwe tabu akavuta wife mwingine kazaa nae watoto wawili. So wakati mwingine wanawake ndio uzingua hatupaswi kuingia bifu za wazazi maana still baba angeweza akapiga punyeto usizaliwe. Kitendo tu cha kukuzaaa ni fully respect achilia ishu ya malezi. Pili mwanadamu maturity huwa atazami ya jana yashapita hayo. SAsa unashikilia maumivu hata kuoa utaki kisa unafikiria ulivyosota.
Eti kitendo cha kukuzaa ni fully respect [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hutunzi unazaa tu we umekuwa panyaa? Hata panya analea asee

Ishu sio kuzaa ni kulea, fanya majukumu ya kibaba
 
Eti kitendo cha kukuzaa ni fully respect [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hutunzi unazaa tu we umekuwa panyaa? Hata panya analea asee

Ishu sio kuzaa ni kulea, fanya majukumu ya kibaba
Unaweza ukalea na akapigwa sumu tu vizuri.
Sema huwa upande wa pili hausikilizwi kubalance story
Ujaona mwanaume anatoa pesa kumpa mama alipe ada na anunulie nguo watoto mama anawaambia watoto baba yenu ni mlevi tu Mimi ndie nahangaika hadi mnasoma. Na huyu yupo kwenye ndoa ndo sembuse single mothers. Labda kama wewe ni mgeni.
Wanaume awapigi kelele tu thus ubeba lawama
 
Eti kitendo cha kukuzaa ni fully respect [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hutunzi unazaa tu we umekuwa panyaa? Hata panya analea asee

Ishu sio kuzaa ni kulea, fanya majukumu ya kibaba
Issue ni kuzaa si kulea, Baba na Mama ni wale wanaokuzaa. Unaweza ukalelewa hata mituo cha polisi na Maaskali lakini huwez kuwataja kama Baba na Mama yako
 
Back
Top Bottom