Ommy Dimpoz amkana baba yake

Ommy Dimpoz amkana baba yake

Kuna mambo mengine wanawake wanayatengeneza wenyewe mimi mwanangu sijawahi hata mgusa zaidi ya kupewa picha mbili tatu tena kwa mbinde sana, mama yake ni kiburi tuu kimemjaa kisa kwao uwezo upo mtu anakaa kibaha anataka kuandikisha clinic lugalo nikahoji huko kibaha hakuna hospitali??

Akajibu ooh kugalo hospitali tunayoitumia familia nikamwambia huoni kwamba utajitesa na mambo ya nauli akadai atapelekwa na mamaake mdogo usafiri upo nikatulia nisikilizie siku ya clinic sasa anataka nauli sijui sasa hapo nilimpaga hela ya vifaa ili akiamua kwenda mambo yakae sawa siku ya kwenda anataka nauli hela ya clinic vifaa ile anadai alikula so jumla 270k kila kitu nikamwambia sina hela iyo nilichukia sana.

Ila ni kama ilikuwa sababu akaniambia namchukulia kama ana njaa sana basi nitulize nione kama ataniomba tena, akanilia buyu nikajua labda hasira za mimba mwee ndo ikawa ntolee iyo..nikimwambia nikutumie hela za kujikimu anadai Bi mkubwa wake kashalipa hana shida mapaka anajifungua ni kuchuniwa.. mwenyewe nikaona nibalansi shobo tu..
Hayo yalinikuta, bahati nipo nje ya TZ naganga njaa sasa nilikuwa natuma ada ya boarding kumbe kamtoa anakaa home nilipobaini nikaacha kumtumia nikawa natuma kwenye account ya shule moja kwa moja. Kanipiga pini siwasiliani na mtoto kabisa na niko mbali, mambo mengine we acha tu.
 
Kweli sijawahi kuskia mtoto akimkataa Baba tajiri kwa madai kwamba alimtelekeza mama yake, Lakini watoto wakitajirika wanawakataa Baba maskini kwa kigezo cha Utelekezwaji.
Hii ni direct imbalacement.
This goes both ways japo mtazamo wake wa kusema hana mapenzi na baba yake utabaki kuwa wa kwake, kila mja hu-react tofauti katika yale yanayomkabili.
 
Naungana na wewe, Hawa vijana wa Kizazi cha Make Up wana akili za kike sanaaaa. Imeandikwa tuwatii wazazi sio wazazi wawatii watoto. Mzazi haijalish kafanya nini ni wajibu wako kutafuta suruhu ili upendo udumu.

Kuna wimbo wa Ambwene mwasongwe Mwamba alichapiwa mke wake na Baba ake mzazi lakini MUNGU alimtaka kijana arudi akamwombe Baba ake msamaha ilihali yeye ndie kakosewa.
Jambo gumu ni kujua ukweli halisi of what exactly transpired lakini mtu akiboronga akamkataa mtoto katakata ni upumbavu kumpa credits eti kwa sababu tu ni baba ila kusamehe ni jambo la busara.
 
nasema iwe fundisho kwa wengine unapokuwa unamwaga unategemea nini?watu wa hivi ndo wanaongeza watoto wa mtaani utasema kuna mtu aliwasaidia kumwaga,sasa akapambane
 
Ipo wazi anaemkabidhi mtoto kwa baba ni mama km mama hakumkabidhi kwa baba yake basi hata ningekua mimi nisingekua na time nae..

Itoshe kusema mama ndie anaemjua baba wa mtoto ni nani.. nyingine mbwembwe tu
Mm ningekuwa dogo hii story ningeifunga mahakamani ili huyu dingi asimzoee
 
Niliwahi kukutana na huyu Mzee Sumbawanga ni dereva Bajaj.

Wakati napata huduma ya usafiri wake alikuwa analalamika sana juu ya Ommy na kubwa zaidi akisema suala lake na mwanae limesababishwa na Mama yake Ommy.

Inaonekana wakati huyu mzee akiwa kijana hakuwa karibu na familia yake kihivyo.

Bajaj yake imeiandika "Pozi kwa Pozi"
Pozi kwa pozi haaahaaahaaa[emoji1787][emoji1787]
 
Issue ni kuzaa si kulea, Baba na Mama ni wale wanaokuzaa. Unaweza ukalelewa hata mituo cha polisi na Maaskali lakini huwez kuwataja kama Baba na Mama yako
We unaongea kwa kutumia akili kweli?

Kuzaa Kuna ishu gani? Zaidi ya kuwa sperm donor, au mpiga Pichu na bao lilee?

Ishu ni malezi mzee baba ndo mziki uko pale..

Na bond kati ya mzazi na mtoto inaanzia kwenye malezi , sio sijui eti yule kanizaa[emoji57][emoji57]
 
Mzee akizingua unakausha tu kwani ni mwanaume mwenzie kwa sasa.

Kelele nyingi sana Ommy kwakuwa hajawa na familia
 
Kuna mambo mengine wanawake wanayatengeneza wenyewe mimi mwanangu sijawahi hata mgusa zaidi ya kupewa picha mbili tatu tena kwa mbinde sana, mama yake ni kiburi tuu kimemjaa kisa kwao uwezo upo mtu anakaa kibaha anataka kuandikisha clinic lugalo nikahoji huko kibaha hakuna hospitali??

Akajibu ooh kugalo hospitali tunayoitumia familia nikamwambia huoni kwamba utajitesa na mambo ya nauli akadai atapelekwa na mamaake mdogo usafiri upo nikatulia nisikilizie siku ya clinic sasa anataka nauli sijui sasa hapo nilimpaga hela ya vifaa ili akiamua kwenda mambo yakae sawa siku ya kwenda anataka nauli hela ya clinic vifaa ile anadai alikula so jumla 270k kila kitu nikamwambia sina hela iyo nilichukia sana.

Ila ni kama ilikuwa sababu akaniambia namchukulia kama ana njaa sana basi nitulize nione kama ataniomba tena, akanilia buyu nikajua labda hasira za mimba mwee ndo ikawa ntolee iyo..nikimwambia nikutumie hela za kujikimu anadai Bi mkubwa wake kashalipa hana shida mapaka anajifungua ni kuchuniwa.. mwenyewe nikaona nibalansi shobo tu..
Sawa
 
Ommy dimpoz ni mjinga tu asidhani kuwa yeye pekee ndiye amepitia hali hiyo.Binafsi mzee wangu aliniacha nikiwa na mwaka mmoja hata sijaacha kunyonya. Sikuwahi kuiona sura yake kipindi nakua sana sana niliongea nae kwa siku mara moja moja tu. Ila story nlizokuwa nikizipata kutoka kwa mama na hata ndugu zangu waliowahi kuishi nae ni kuwa alikuwa mtu mwenye mali na pia alikuwa anajali sana na alikuwa akiijali familia.Sikujua nini kilitokea mpaka akanitelekeza ,mara ya kwanza nakuja kuiona sura yake ni pindi amefariki ,tunakwenda kumzika. Nlitamani na bado natamani sana ningepata walau muda wa dakika kadhaa nikae nae chini niongee nae mawili matatu,nipate busara zake ila haikukadiriwa kuwa hivyo. Ni kweli nikiri kuwa single mothers wanawalisha sana maneno watoto wao hususan wa kiume kuwa baba zao ni wabaya. Kwakuwa nishakaa na wanawake ktk maisha yangu, i didnt buy dat bullshit. Sikuskiliza hizo negativity. Nilipanga sana nikamtafute mzee wangu walau niione tu sura yake. Ila wakati najipanga ndipo umauti ulimfika hivyo sikujaaliwa.

Ommy ashukuru hata kuweza kumuona baba yake kuna wengine hata sura za wazee wetu hatujaziona. Sometimes huwa nawaza ,Je Mungu aliyetuumba angekuwa hasamehi kama hivi sisi tulivyo ,je tungeliambulia hata tone la mvua?? Je Mungu angesema anawapa neema wale tu wanaomuabudu,je sisi waasi tungelipata hata punje ya haradali?

Haiyumkiniki Mungu anatuumba na kutujali sisi wanaadamu toka tupo ktk umbile la manii, pande la damu mpk tunazaliwa tukiwa timilifu na tunakua na bado tunamshirikisha kwa kuabudu miungu mingine na bado anaendelea kutupa hewa,maji na chakula n.k bure. Ila sisi tunashindwa kusamehe tena wazazi wetu.

Kama ukimuangalia mzee nyembo utaona kuwa ana moyo mkunjufu kwa mawanawe na anakiri makosa yake aliyoyafanya.Na anachokitaka sasa hivi si rizki ya kula kutoka kwa mwanawe bali ni ule ukaribu tu .Mzee ameshafikia umri wa utu uzima anataka amuunganishe mwanawe aliyepotezana nae na nduguze. Nani ajuae labda mzee amebakisha umri mfupi kabla ya kuondoka duniani??

Vp akifa leo na dimpoz kujifanya kwenda sumbawanga kwenda kuhudhuria mazishi, je ndugu zake upande wa baba wakimfurusha msibani atajiskiaje??

Hakuna jambo zuri kama kuunga udugu na kuwathamini wazazi. Umaarufu anaouringia dimpoz si chochote ikiwa kama mzee nyembo angeamua kupiga nyeto na kuziacha shahawa zake zikapotelea chooni tu.Ila alizipa heshima na kwenda kuziweka katika mfuko wa uzazi wa mama yake dimpozi. Na leo hii dunia inamfahamu huyu dimpoz.

Dimpoz acha utoto ,grow up umtafute baba yake ,myajenge ,mmalize tofauti zenu na akuunganishe kwa nduguzo upande wake.
 
Ndiyo maana haishauriwi kujudge makosa ya mtu kama haujavaa viatu vyake. Ommy anaweza akawa anamlaumu mshua, ila ukichimba kwa ndani sana unakuta Mama ndiyo alizingua. Sema mambo mengine huwa hayasemwi tu.
Hakuna excuse, mzee wake alizingua, mama kavuta tangu darasa la pili, kama angekuwa na nia angeonesha mapenzi tangu baada ya msiba

Ommy ni mtu mzima anajua anachoongea, kama kuna lolote angeshajua kitambo, mzee alizingua, dogo katoka kimaisha anataka kuleta shobo. Aendelea kula za uso
 
Ubini hakuwa na option ya kuuchagua,aliukuta tu.
Ni kipimo kizuri cha mahusiano baina ya wazazi.
Ipo hivi kama mama aliridhia mtoto kupewa ubini wa baba inadhihirisha hakukua na utofauti mkubwa kati yao.
 
Kuna kitu nimejifunza hapa Hongera Sana mkuu
Ukiwa na mtoto Mdogo au mchanga Ina shauriwa jitahid KILA mara una mbeba mkumbatie kifuani huku mshee lile joto ukimtamkia baraka, hili jambo lina maana kubwa Sana kwa saikolojia ya mtoto. Ukubwani ni lazima mtoto hawezi kuwa mbali nawe.

Naungana na wewe, Hawa vijana wa Kizazi cha Make Up wana akili za kike sanaaaa. Imeandikwa tuwatii wazazi sio wazazi wawatii watoto. Mzazi haijalish kafanya nini ni wajibu wako kutafuta suruhu ili upendo udumu.

Kuna wimbo wa Ambwene mwasongwe Mwamba alichapiwa mke wake na Baba ake mzazi lakini MUNGU alimtaka kijana arudi akamwombe Baba ake msamaha ilihali yeye ndie kakosewa.
Hi story inapatikana kwenye Biblia mkuu?
 
Ommy dimpoz ni mjinga tu asidhani kuwa yeye pekee ndiye amepitia hali hiyo.Binafsi mzee wangu aliniacha nikiwa na mwaka mmoja hata sijaacha kunyonya. Sikuwahi kuiona sura yake kipindi nakua sana sana niliongea nae kwa siku mara moja moja tu. Ila story nlizokuwa nikizipata kutoka kwa mama na hata ndugu zangu waliowahi kuishi nae ni kuwa alikuwa mtu mwenye mali na pia alikuwa anajali sana na alikuwa akiijali familia.Sikujua nini kilitokea mpaka akanitelekeza ,mara ya kwanza nakuja kuiona sura yake ni pindi amefariki ,tunakwenda kumzika. Nlitamani na bado natamani sana ningepata walau muda wa dakika kadhaa nikae nae chini niongee nae mawili matatu,nipate busara zake ila haikukadiriwa kuwa hivyo. Ni kweli nikiri kuwa single mothers wanawalisha sana maneno watoto wao hususan wa kiume kuwa baba zao ni wabaya. Kwakuwa nishakaa na wanawake ktk maisha yangu, i didnt buy dat bullshit. Sikuskiliza hizo negativity. Nilipanga sana nikamtafute mzee wangu walau niione tu sura yake. Ila wakati najipanga ndipo umauti ulimfika hivyo sikujaaliwa.

Ommy ashukuru hata kuweza kumuona baba yake kuna wengine hata sura za wazee wetu hatujaziona. Sometimes huwa nawaza ,Je Mungu aliyetuumba angekuwa hasamehi kama hivi sisi tulivyo ,je tungeliambulia hata tone la mvua?? Je Mungu angesema anawapa neema wale tu wanaomuabudu,je sisi waasi tungelipata hata punje ya haradali?

Haiyumkiniki Mungu anatuumba na kutujali sisi wanaadamu toka tupo ktk umbile la manii, pande la damu mpk tunazaliwa tukiwa timilifu na tunakua na bado tunamshirikisha kwa kuabudu miungu mingine na bado anaendelea kutupa hewa,maji na chakula n.k bure. Ila sisi tunashindwa kusamehe tena wazazi wetu.

Kama ukimuangalia mzee nyembo utaona kuwa ana moyo mkunjufu kwa mawanawe na anakiri makosa yake aliyoyafanya.Na anachokitaka sasa hivi si rizki ya kula kutoka kwa mwanawe bali ni ule ukaribu tu .Mzee ameshafikia umri wa utu uzima anataka amuunganishe mwanawe aliyepotezana nae na nduguze. Nani ajuae labda mzee amebakisha umri mfupi kabla ya kuondoka duniani??

Vp akifa leo na dimpoz kujifanya kwenda sumbawanga kwenda kuhudhuria mazishi, je ndugu zake upande wa baba wakimfurusha msibani atajiskiaje??

Hakuna jambo zuri kama kuunga udugu na kuwathamini wazazi. Umaarufu anaouringia dimpoz si chochote ikiwa kama mzee nyembo angeamua kupiga nyeto na kuziacha shahawa zake zikapotelea chooni tu.Ila alizipa heshima na kwenda kuziweka katika mfuko wa uzazi wa mama yake dimpozi. Na leo hii dunia inamfahamu huyu dimpoz.

Dimpoz acha utoto ,grow up umtafute baba yake ,myajenge ,mmalize tofauti zenu na akuunganishe kwa nduguzo upande wake.

Hao ndugu wajiunganishe wao Omy anao ndugu wanamtosha
 
Ommy dimpoz ni mjinga tu asidhani kuwa yeye pekee ndiye amepitia hali hiyo.Binafsi mzee wangu aliniacha nikiwa na mwaka mmoja hata sijaacha kunyonya. Sikuwahi kuiona sura yake kipindi nakua sana sana niliongea nae kwa siku mara moja moja tu. Ila story nlizokuwa nikizipata kutoka kwa mama na hata ndugu zangu waliowahi kuishi nae ni kuwa alikuwa mtu mwenye mali na pia alikuwa anajali sana na alikuwa akiijali familia.Sikujua nini kilitokea mpaka akanitelekeza ,mara ya kwanza nakuja kuiona sura yake ni pindi amefariki ,tunakwenda kumzika. Nlitamani na bado natamani sana ningepata walau muda wa dakika kadhaa nikae nae chini niongee nae mawili matatu,nipate busara zake ila haikukadiriwa kuwa hivyo. Ni kweli nikiri kuwa single mothers wanawalisha sana maneno watoto wao hususan wa kiume kuwa baba zao ni wabaya. Kwakuwa nishakaa na wanawake ktk maisha yangu, i didnt buy dat bullshit. Sikuskiliza hizo negativity. Nilipanga sana nikamtafute mzee wangu walau niione tu sura yake. Ila wakati najipanga ndipo umauti ulimfika hivyo sikujaaliwa.

Ommy ashukuru hata kuweza kumuona baba yake kuna wengine hata sura za wazee wetu hatujaziona. Sometimes huwa nawaza ,Je Mungu aliyetuumba angekuwa hasamehi kama hivi sisi tulivyo ,je tungeliambulia hata tone la mvua?? Je Mungu angesema anawapa neema wale tu wanaomuabudu,je sisi waasi tungelipata hata punje ya haradali?

Haiyumkiniki Mungu anatuumba na kutujali sisi wanaadamu toka tupo ktk umbile la manii, pande la damu mpk tunazaliwa tukiwa timilifu na tunakua na bado tunamshirikisha kwa kuabudu miungu mingine na bado anaendelea kutupa hewa,maji na chakula n.k bure. Ila sisi tunashindwa kusamehe tena wazazi wetu.

Kama ukimuangalia mzee nyembo utaona kuwa ana moyo mkunjufu kwa mawanawe na anakiri makosa yake aliyoyafanya.Na anachokitaka sasa hivi si rizki ya kula kutoka kwa mwanawe bali ni ule ukaribu tu .Mzee ameshafikia umri wa utu uzima anataka amuunganishe mwanawe aliyepotezana nae na nduguze. Nani ajuae labda mzee amebakisha umri mfupi kabla ya kuondoka duniani??

Vp akifa leo na dimpoz kujifanya kwenda sumbawanga kwenda kuhudhuria mazishi, je ndugu zake upande wa baba wakimfurusha msibani atajiskiaje??

Hakuna jambo zuri kama kuunga udugu na kuwathamini wazazi. Umaarufu anaouringia dimpoz si chochote ikiwa kama mzee nyembo angeamua kupiga nyeto na kuziacha shahawa zake zikapotelea chooni tu.Ila alizipa heshima na kwenda kuziweka katika mfuko wa uzazi wa mama yake dimpozi.

Pole kwa yaliyokukuta lakini pia hongera kwa kusikiliza upande mzuri wa baba yako lakini shukuru pia hukuweza kuujua upande wa pili wa shilingi

Kuna rafiki yangu wa karibu hakuwahi kumjua baba yake ila alipomtafuta, mzee alikuwa positive na akamuunganisha na familia yake yote kabila hajafariki.

Na kuna wengine wanawatafuta wazee wwo halafu wanawapa cold shoulder kama ommy. Jamaa mama yake kafariki akiwa darasal la pili na ukisikiliza story yake ni kama alihitaji ukaribu na mzee wake Ila mzee hakuona umuhimu huo na ndio maana toka akiwa mdogo hakuwahi kumjali

Huwezi jua ommy alipitia mangapi na ile hasira ya kuwa na baba asiejali uwepo wake ilimuumiza kiasi gani.

Kila mtu ana story yake na kila mtu ana uwezo tofauti wa kupoza maumivu yake. Kama wewe ni strong sana bhasi yeye bado hajafikia stage yako, kamkubali na kumuheshimu kama baba yake Ila hana mapenzi naye which is understandable
 
We unaongea kwa kutumia akili kweli?

Kuzaa Kuna ishu gani? Zaidi ya kuwa sperm donor, au mpiga Pichu na bao lilee?

Ishu ni malezi mzee baba ndo mziki uko pale..

Na bond kati ya mzazi na mtoto inaanzia kwenye malezi , sio sijui eti yule kanizaa[emoji57][emoji57]
Wanaume wengi Sisi ni wapuuz Sana ,eti kuzaa kuzaa hata wanyama wanazalisa /kutunhisha mimba , issues ni malezi .
Binadamu tumepewa utashi tofauti na wanyama Ila kuna kenge baadhi wanafanya mambo ya kihayawani kuzaa na kutelekeza ,ni upumbav Sana Huu ,
Kama hauko tayari Kwa kuhusika kwenye malezi ya mtoto ni Bora usizae .
 
Back
Top Bottom