Ommy Dimpoz amkana baba yake

Mkuu unataka kusema sisi bodaboda?
 

Watoto waliotelekezwa wana maumivu makali mnoo. Mtu kuelewa kama hajapitia hayo anaweza akaona ni rahisi tu. Wazazi wanatelekeza watoto then watoto wana hustle na maisha mpaka wanatoboa kivyao bila love ya wazazi then mzazi anakuja hata bila kuomba msamaha au kusafisha aliyokosea, anaanza kudai fadhila kwa lazima. Jamii nayo inakimbilia kumsema mtoto badala ya huyu mzazi aliyekuwa irresponsible akiwa na nguvu. Watoto waliopitia kutelekezwa wanahitaji msaada badala ya kunangwa na kuonekana ndio wenye makosa.
 
No excuse, mzee alizingua, Dimpo sio mtoto mdogo kwamba hajui analofanya.

Wahenga sio wajinga, walishasema

MALIPO NI HAPA HAPA DUNIANI
 
Jambo gumu ni kujua ukweli halisi of what exactly transpired lakini mtu akiboronga akamkataa mtoto katakata ni upumbavu kumpa credits eti kwa sababu tu ni baba ila kusamehe ni jambo la busara.
Tatizo watu wa hivyo hawahitaji msamaha wanachohitaji ni pesa apewe pesa kwa sanaa, Sasa hapo akiambiwa aanze kutoa matunzo kwa dimpozi atatoka mbio tena hivyo tunapohubiri msamaha basi mtu awe na nia ya huo msamaha na siyo pesa, Mimi nawashauri wababa wa hivyo kama kweli walikosewa na wanawake wao basi watunze fungu la urithi wawape watoto wanapokuwa wakubwa kwa kushindwa kuwalea.
 
Kushindwa kusamehe ndio udhaifu mkubwa kupita yote hii inamaanisha hajakomaa hawezi kustahimir magumu zaidi. Kufumbia macho mabaya na kubeba maumivu bila kisasi ndio upendo mkubwa zaidi unaoweza kumwonyesha mtu.
Comment yako imenigusa,, busara hekima huruma na uelewa wangu wote nimeshindwa hiki kitu, kufumbia macho ubaya bila maumivu wala kisasi, napambana ila nashindwa, nikiweza nitakuwa na amani sana maishani mwangu
 
Comment yako imenigusa,, busara hekima huruma na uelewa wangu wote nimeshindwa hiki kitu, kufumbia macho ubaya bila maumivu wala kisasi, napambana ila nashindwa, nikiweza nitakuwa na amani sana maishani mwangu
Jitahidi mkuu
 
Hili ni funzo kwa wazazi wote wanaopenda kutelekeza watoto na ikitokea watoto wametoboa kimaisha wanajirudisha kwa mbwembwe na huruma nyingi.

Mzee, kama umeamua kumpiga chini mtoto, kaza hadi mwisho, sio ukiona dogo yuko njema ndio unaanza kurudi.
 
Mimi naangalia kwa upande huu; Baba akiwa amefanikiwa na mtoto hali ngumu, bado mtoto angezungumza kama anavyosema sasa?

Na je kama mwanzo baba alikua tajiri/mwenye mafanikiao na akamtelekeza mtoto then pindi mtoto anafanikiwa baba akawa ameshafilisika[emoji2378]
 
Hili neno alosema mtangazaji ki grammmatical-english linakuwaje ''Stiil bado'' ' Haji Manara ni msemaji wa yanga!!
 
Ipo wazi anaemkabidhi mtoto kwa baba ni mama km mama hakumkabidhi kwa baba yake basi hata ningekua mimi nisingekua na time nae..

Itoshe kusema mama ndie anaemjua baba wa mtoto ni nani.. nyingine mbwembwe tu
Unamaana alivyotomber nje ya ndoa au alivyochepuka
 
Mzazi unamtelekeza mtoto ateseke mwenyewe we choko nini ungekuwa karibu ningepaka kinyeo chako mafuta nikakuingizia bakari juma

Mazafaka wewe
Unajua yaliyo jili baina ya wazazi hao wawili??.....kina Mama wengine ni wakrofi balaa lake ni bora usepe tuu!!.....Demu anakufukuzisha kazi! kisa anafahamiana na Boss wako!

anakutukana mitusi ya nguoni km mbwa,mwanaume suruali, mgomvi!! kiruka njia, unaponea ponea chupuchupu kufa utakaa nae kweli?? na

mtoto huyo kaiga tabia za Mama ake hata km ni mie aende tu!! wala simlaani. asijitambulishe kuwa tuna uhusiano!! Nikifa mie basi, aje asije sawa tu lkn mzee amsamehe tu kijana huyo!

wala asijitambulishe saaana, hakuna jipya hapo! hujui nani atatangulia! na pia hujui km ni wake kweli manake Damu bana ninzito sana hata km amefanya kosa gani kuuubwa lkn damu yako itasema na wewe tu hivi

aah! hili likamanda langu Bana lilikuwa na msimamo halikutaka mambo ya mchezo! mchezo maza kaleta za kuleta likafukuza na mie nafuata nyayo! baasi umemaliza!
 
Daa weye dogo nimeipenda sana hii!! halafu kitu kingine Damu ni damu tu lazima utaumia sana hutapata usingizi mzuri km utasema vibaya damu yako!! ni jabu labda uwe sijui na roho gani tu au si damu yako kabisaaa!
 
Ila ukimsikiliza vema ana trauma ya kukosa mapenzi ya baba

Sent from my LM-V500N using JamiiForums mobile app
sasa si ndo imepona sasa!! kwani unadhania kukaa na wazazi woote ndo hakuna trauma??..ipo tena sometimes ndo inakuwaga kali zaidi.......mnaandaliwa kukomaa na maisha........mnapewa kazi/suruba km siyo wana........

wadada wa familia wata pumzishwa mikazi migumu ila nyie ndo mtazifanya zooote
 
Wanaume tusiwatelekeza watoto japo wanawake ni mabingwa wa kuwalisha sumu anaweza akakuwekea block ya kuonana na mtoto ugomvi wenu wao ukosea uwashirikisha watoto.
Shida ya sisi wanaume tunajiona tupo sahihi asilimia 100%. Kumbuka suala la kuhudumia familia ni la baba, chakula, malazi na mahitaji mengine.
Umegombana na mama yake, unamsusa na mtoto, unaoa mwanamke mwingine. Humtafuti mtoto. Umri umeenda na mtoto ameshakuwa mkubwa tena na maisha mazuri unamtafuta. Kwanini usimtafute akiwa utotoni?
Wanaume tunazingua sana wakati mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…