Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
uchawa tu afu madhabiki zako tutakurushia mawe siku ukipanda jukwaani usije ukauliza sababu....Wakuu,
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Omary Nyembo maarufu kama Ommy Dimpoz, amezua utani wa aina yake leo Januari 7, 2025, wakati wa ufunguzi wa hoteli mpya katika Kisiwa cha Bawe, Zanzibar.
Dimpoz, amesema itapendeza sana kama "dhambi zote za Rais Samia akipewa Tundu Lissu"
View attachment 3195044
Duuidu budubudubuDuh aiseee
001.Na za huyo Ommy Dimpoz zake tunampa nani?
Inaelekea utiaji wa saidi ya kifo cha Hitler hata yule Aliyemrithi alikua anajua .Na za huyo Ommy Dimpoz zake tunampa nani? Anagawa dhambi utafikili kinyama ugomvi- maajabu ya Musa haya. Tunasoma toka kwa Kabendela kwamba mama alitokewa kwa pajama na mwendazake, sasa hizo zambi za kukaa kimya za mama nazo anamugawia Lissu au?