Ommy Dimpoz: Dhambi zote za Rais Samia apewe Tundu Lissu

Na za huyo Ommy Dimpoz zake tunampa nani? Anagawa dhambi utafikili kinyama ugomvi- maajabu ya Musa haya. Tunasoma toka kwa Kabendela kwamba mama alitokewa kwa pajama na mwendazake, sasa hizo zambi za kukaa kimya za mama nazo anamugawia Lissu au?
😁😁Dah! Ila jiwe alikuwa mental case
 
Na za huyo Ommy Dimpoz zake tunampa nani? Anagawa dhambi utafikili kinyama ugomvi- maajabu ya Musa haya. Tunasoma toka kwa Kabendela kwamba mama alitokewa kwa pajama na mwendazake, sasa hizo zambi za kukaa kimya za mama nazo anamugawia Lissu au?
Za ommy atapewa bwana wake wa Nairobi aliyemtibu alipokuwa anaumwa
 
Back
Top Bottom