MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
😁😁Dah! Ila jiwe alikuwa mental caseNa za huyo Ommy Dimpoz zake tunampa nani? Anagawa dhambi utafikili kinyama ugomvi- maajabu ya Musa haya. Tunasoma toka kwa Kabendela kwamba mama alitokewa kwa pajama na mwendazake, sasa hizo zambi za kukaa kimya za mama nazo anamugawia Lissu au?
Za ommy atapewa bwana wake wa Nairobi aliyemtibu alipokuwa anaumwaNa za huyo Ommy Dimpoz zake tunampa nani? Anagawa dhambi utafikili kinyama ugomvi- maajabu ya Musa haya. Tunasoma toka kwa Kabendela kwamba mama alitokewa kwa pajama na mwendazake, sasa hizo zambi za kukaa kimya za mama nazo anamugawia Lissu au?
Wanampumulia kisogoni?Yaani anavyoimba tu na kuongea kwa kubana na kulegeza sauti, kwa mtu mzima mwenye ustadi wa kutambua mambo kwa kina, ustadi na ufanisi wa hali ya juu huwezi kupinga inavyosemekanaga huyu kijana ni SHOGA!
Hakika inasikitisha