Ommy Dimpoz kabla hajatoka

Ommy Dimpoz kabla hajatoka

ericford

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
265
Reaction score
68
haia akiwa kwao kigoma bila shaka
 

Attachments

  • 1412949560984.jpg
    1412949560984.jpg
    26.7 KB · Views: 3,033
Watu tunatoka mbali lakini ndio hivyo tunakuwa wepesi kusahau kumshukuru Mungu kwa yale aliyotutendea.


Kama yule chokoraa Wa Tandale anaedai Mbeya hakuna hotel ya hadhi yake....

Hao hawana tofauti na kima.
 
Jamaa nasikia alikua ni mfanyabiashara mzuri sana wa Dagaa wa Kigoma kwenye train sijui alikwenda kwenye mziki kufanya nini!
 
Hongera Ommy Dimpoz kwa kufika hapo ulipo,kuwa mnyenyekevu kwa Mungu na mpaka binadamu wenzio na usipende skendo kama.......
 
Hahahahaaaa,uwií mbavu zangu nimechekajeeee?duu kwel kila kitu na mda wake.
 
Back
Top Bottom