Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu tunatoka mbali lakini ndio hivyo tunakuwa wepesi kusahau kumshukuru Mungu kwa yale aliyotutendea.
mbona kashatoka hapo,yupo nje ya treni
tuletee akiwa ndani hajatoka kwenye train
Kama yule chokoraa Wa Tandale anaedai Mbeya hakuna hotel ya hadhi yake....
Hao hawana tofauti na kima.
mbona kashatoka hapo,yupo nje ya treni
tuletee akiwa ndani hajatoka kwenye train