alpha walk
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 215
- 206
umemaliza,case closed!Nimefanya jitihada kubwa kwenye hilo nimeshindwa. Nilichojifunza ni kuwa watoto wa aina hii huwa wanapenda baba zao tufeli maisha kisha wao wakiwa na maisha mazuri tuwafuate kuomba msaada, hapo wanapata nafasi ya kulipa kisasi.
Nawashauri wanaume waliotelekeza watoto kwa kujua ama kutokujua, ikitokea mtoto anakuwa mtata kama huyu wangu ni kuachana naye hata kama unamuitaji sana. Ukitumia nguvu kubwa kumpata atakugeuza kuwa mtumwa wake.
Tatizo kwa hapa bongo wadada wengi wanaamua kushika mimba kwa makusudi, ili kupata support tu, lakini mwanamke akiamua kutozaa na wewe hata ufanye nini hakuzalii mtoto kamwe!Itungwe sheria kama Ulaya ukimpa mwanamke mimba ni lzm uwajibike juu ya matunzo ya mimba hio na mtoto atakaezaliwa hadi atakapojitegemea. Hii itaepusha wahuni kutunga hovyo mimba na kutelekeza watoto waishie kupata tabu duniani.
Umeongea point.Nimefanya jitihada kubwa kwenye hilo nimeshindwa. Nilichojifunza ni kuwa watoto wa aina hii huwa wanapenda baba zao tufeli maisha kisha wao wakiwa na maisha mazuri tuwafuate kuomba msaada, hapo wanapata nafasi ya kulipa kisasi.
Nawashauri wanaume waliotelekeza watoto kwa kujua ama kutokujua, ikitokea mtoto anakuwa mtata kama huyu wangu ni kuachana naye hata kama unamuitaji sana. Ukitumia nguvu kubwa kumpata atakugeuza kuwa mtumwa wake.
Sijakusoma, fafanua tafadhaliFurushi tu kama mafurushi mengine.
Dah!...poleni Sana..Baadaye nikaona isiwe shida nikaachana naye na kamwe sitakuja kuja kumfuatilia.
Binafsi nahesabu kuwa mimi ni 'sperm donor 'kwa yule mtoto. Sijichukulii kama ni baba mzazi.
Moyo wangu unahisi hatia kidogo sana na kamwe sitakuja kuomba msaada kwake kama baba yake.
Afanye DNA mapema. Awe na uhakika ikiwa mtoto si wake basi ajue hilo na ikiwa anaamua kumlea basi awe na uhakika kuwa analea mtoto ambaye si wake.Yupo jamaa yangu mmoja yeye mpaka sasa hivi yupo njia panda kuhusu mtoto jamaa anasema alkutana na ex wake mwezi wa 12 mwaka jana kimasihara tu jamaa akamchapa kamoja ka ukumbusho lkn baada ya wik2 demu anampgia kumwambia jamaa ana mimba yake kitu kilichompa mashaka basi jamaa pamoja na mashaka akasubiri muda uongee. Make hakukataa moja kwa moja cha ajabu binti kajifngua mwez wa 8 tarehe za katikati hivyo jamaa kila akipiga hesabu ya miezi 9 ili kuzaliwa mtoto hesabu inamgomea mpaka muda huu kashindwa asimame wapi ahudumie mtoto au apige pasi ndefu sasa kama huyu huko mbeleni sijui ataonekanaje kama kweli ni wake
Nishawahi kusikia mwanamke kujifungua sio lazima itimie miezi 9 kamili inaweza kuwahi kidogo au kuchelewa kidogo ila inakua around miezi 9 ndo maana imezoeleka tu kusema miezi 9 sina uhakika lakini mimi sio specilaist wa mambo ya afyaYupo jamaa yangu mmoja yeye mpaka sasa hivi yupo njia panda kuhusu mtoto jamaa anasema alkutana na ex wake mwezi wa 12 mwaka jana kimasihara tu jamaa akamchapa kamoja ka ukumbusho lkn baada ya wik2 demu anampgia kumwambia jamaa ana mimba yake kitu kilichompa mashaka basi jamaa pamoja na mashaka akasubiri muda uongee. Make hakukataa moja kwa moja cha ajabu binti kajifngua mwez wa 8 tarehe za katikati hivyo jamaa kila akipiga hesabu ya miezi 9 ili kuzaliwa mtoto hesabu inamgomea mpaka muda huu kashindwa asimame wapi ahudumie mtoto au apige pasi ndefu sasa kama huyu huko mbeleni sijui ataonekanaje kama kweli ni wake
Inaelekea kama huyo uliyezaa naye ndio analazimisha uhusiano wako na mtoto. Mtoto hakuhitaji, na wewe pia humuhitaji.Nimesoma na kusikiliza maoni mbalimbali kuhusu nachoweza kuita kutowajibika kwa malezi kwa baba yake Ommy kwa mwanae.
Hapa nitaeleza mkasa unaonihusu mimi wa kutowajibika kulea mtoto wangu.
Mwaka 2001 binti niliyekuwa na mahusiano naye aliniambia kuwa ana mimba, sikuikataa.
Jirani a nilipokuwa naishi kulikuwa na muuguzi rafiki yangu, nikamuomba ampime kuthibitisha ikiwa ni kweli ana mimba. Jibu la muuguzi lilikuwa tata kwangu, akaniambia ni kama ana mimba lkn inatakiwa turudie kupima tena.
Mimi nikahukumu kuwa hana mimba.
Maisha yakaendelea nikahama huo mkoa na kuhamia mkoa mwingine.Mwaka 2019 namba ngeni ikapigwa kwangu baada ya kuipokea akajitambulisha kwangu na kwa uhakika nikamkumbuka.
Akaniambia mtoto wako kakua na kamaliza kidato cha nne.Nilipigwa na butwaa kisha nikapuuzia. Nikajiuliza kama kweli ana mtoto wangu imekuwaje kwa miaka yote hii hakuniambia?
Nikahisi Kuna namna ya kutengenezewa mazingira ya kupigwa.
Siku nyingine akanipigia kusisitiza kuwa Kuna mtoto, mara ya pili nikahisi huenda Kuna ukweli nikamuambia mke wangu kuhusu hili.
Nikampa namba wife wakaendelea kuwasiliana na wife akanieleza kweli yule mwanamke ana mtoto wako.
Ikafanywa mipango mtoto nimuone, akaja na mamake mkoa nilipo lkn mtoto akakataa kuonana na mimi, akakutana na rafiki yangu, rafiki akasema kweli mtoto ni wa kwangu kwa muonekano.
Nikaamua tukutane rasmi, toka 2019 mpaka leo sijafanikiwa kumuona pamoja na kuwekeza nguvu kubwa kumtafutia.
Baadaye nikaona isiwe shida nikaachana naye na kamwe sitakuja kuja kumfuatilia.
Binafsi nahesabu kuwa mimi ni 'sperm donor 'kwa yule mtoto. Sijichukulii kama ni baba mzazi.
Moyo wangu unahisi hatia kidogo sana na kamwe sitakuja kuomba msaada kwake kama baba yake.
Baba Dimpoz komaa na maisha yako, muache dimpoz aishi maisha yake.
Hajaonana na mtoto na mtoto hana mpango naye. Inaelekea hiyo mwanamke ndio alijaribu kuweka mawasiliano baina ya Baba na mtoto, Ila sio mtoto.Yaani mtu ambaye upo kwenye mahusiano naye ya kimapenzi anakuambia Ana mimba yako, haumuamini unashirikisha rafiki yako mtaalam wa afya anakuambia ni Kama vile ana mimba ila "mrudie vipimo" Ila wewe unapuuzia na kuhama mkoa kabisa, halafu hapo Tena analaumiwa mwanamke kweli?? Kwa hiyo ulitaka aje Tena kwako akubembeleze kwamba ni kweli Nina mimba yako,twende tukapime tena au ulitaka afanyeje Sasa?? The fact tu kwamba Kuna mtu amekuambia Ana ujauzito wako na haukufuatilia na ukahama mkoa kabisa maana yake haukua tayari kubeba majukumu ya ubaba, na huyo mama kakutafuta tu kwa pressure ya mtoto nadhani maana Kama miaka yote aliweza kumlea bila wewe kuhusika angeweza kumlea usimjue kabisa ,itakua maswali na huzuni ya mtoto ilimsukuma kukutafuta.Anyways endelea kuamini hauna makosa.
Fanya wajibika kwa kumtafuta huyo mtoto n uongee nae kuwa hukutambua uwepo wake,,,,,kupuuza kiss huitaji msaada wake n upumbavu ambao baba hatakiwi kuwa naoNimesoma na kusikiliza maoni mbalimbali kuhusu nachoweza kuita kutowajibika kwa malezi kwa baba yake Ommy kwa mwanae.
Hapa nitaeleza mkasa unaonihusu mimi wa kutowajibika kulea mtoto wangu.
Mwaka 2001 binti niliyekuwa na mahusiano naye aliniambia kuwa ana mimba, sikuikataa.
Jirani a nilipokuwa naishi kulikuwa na muuguzi rafiki yangu, nikamuomba ampime kuthibitisha ikiwa ni kweli ana mimba. Jibu la muuguzi lilikuwa tata kwangu, akaniambia ni kama ana mimba lkn inatakiwa turudie kupima tena.
Mimi nikahukumu kuwa hana mimba.
Maisha yakaendelea nikahama huo mkoa na kuhamia mkoa mwingine.Mwaka 2019 namba ngeni ikapigwa kwangu baada ya kuipokea akajitambulisha kwangu na kwa uhakika nikamkumbuka.
Akaniambia mtoto wako kakua na kamaliza kidato cha nne.Nilipigwa na butwaa kisha nikapuuzia. Nikajiuliza kama kweli ana mtoto wangu imekuwaje kwa miaka yote hii hakuniambia?
Nikahisi Kuna namna ya kutengenezewa mazingira ya kupigwa.
Siku nyingine akanipigia kusisitiza kuwa Kuna mtoto, mara ya pili nikahisi huenda Kuna ukweli nikamuambia mke wangu kuhusu hili.
Nikampa namba wife wakaendelea kuwasiliana na wife akanieleza kweli yule mwanamke ana mtoto wako.
Ikafanywa mipango mtoto nimuone, akaja na mamake mkoa nilipo lkn mtoto akakataa kuonana na mimi, akakutana na rafiki yangu, rafiki akasema kweli mtoto ni wa kwangu kwa muonekano.
Nikaamua tukutane rasmi, toka 2019 mpaka leo sijafanikiwa kumuona pamoja na kuwekeza nguvu kubwa kumtafutia.
Baadaye nikaona isiwe shida nikaachana naye na kamwe sitakuja kuja kumfuatilia.
Binafsi nahesabu kuwa mimi ni 'sperm donor 'kwa yule mtoto. Sijichukulii kama ni baba mzazi.
Moyo wangu unahisi hatia kidogo sana na kamwe sitakuja kuomba msaada kwake kama baba yake.
Baba Dimpoz komaa na maisha yako, muache dimpoz aishi maisha yake.
DNA za hapa kwetu inaegemea kwa "maslahi ya mtoto" hivyo kupewa majibu positive hata kama ni negative ni kitu cha kawaida sana!Afanye DNA mapema. Awe na uhakika ikiwa mtoto si wake basi ajue hilo na ikiwa anaamua kumlea basi awe na uhakika kuwa analea mtoto ambaye si wake.
Sababu ya kukataa kuonana na mimi sijawahi kuijua. Na sio mara moja wamekuja mara tatu na zote kakataa kuonana na mimi.Mara ya mwisho alikuja na mama yake mkubwa,kwa maelezo ya mamake mkubwa nikiwa huwa wanakubaliana kuwa tutaonana lkn mwishowe ugeuka.Kukubali kuonana na rafiki yangu ni kuwa tayari alikuwa na mawasiliano ya karibu na mama yake.Walipoonana na rafiki hakupenda kuongea kila akiulizwa hakuwa anajibu.
Kuna mambo mengi sana hapa sijaandika ila kwa kifupi ni kuwa mtoto kalishwa sumu ambayo hawezi kuitapika.
Yupo jamaa yangu mmoja yeye mpaka sasa hivi yupo njia panda kuhusu mtoto jamaa anasema alkutana na ex wake mwezi wa 12 mwaka jana kimasihara tu jamaa akamchapa kamoja ka ukumbusho lkn baada ya wik2 demu anampgia kumwambia jamaa ana mimba yake kitu kilichompa mashaka basi jamaa pamoja na mashaka akasubiri muda uongee. Make hakukataa moja kwa moja cha ajabu binti kajifngua mwez wa 8 tarehe za katikati hivyo jamaa kila akipiga hesabu ya miezi 9 ili kuzaliwa mtoto hesabu inamgomea mpaka muda huu kashindwa asimame wapi ahudumie mtoto au apige pasi ndefu sasa kama huyu huko mbeleni sijui ataonekanaje kama kweli ni wake