Jina lako haliendani na comment yako... I heart you bro... Safi... Leo anakula bata haituhusu, siku akipata matatizo yatatuhusu, time will tellKwa mtazamo wangu naona pengine Warumi ni kijana na Ommy ni kijana mwenzie, pengine Warumi kaona kijana mwenzie hiyo hela anayo ipoteza kwa show off sisizo kuwa na tija ni bora hiyo hela ange invest!
Siku dimpoz akipata matatizo na anahitaji msaada wa kifedha mtaanza kumkashifu huu ndiyo wakati wenyewe wa kumchana ukweli
Diamond akitoka nje ya nchi yeye anaenda kupiga mtonyo! Yeye akitoka hamna cha maana..
Kwani aliomba pesa kwako?Yani hili jamaa linanikera, linapenda sana raha badala ya kufanya kazi, lenyewe kutwa kubadilisha ndege, mara Dubai, US, Italy, London, khaa! Tumekuchoka bhana, fanya kazi mtoto wa kiume hizo show off waachie akina Wolper na wema ,mbona wenzio akina diamond hawana huo upuuzi, wenzio wakisafiri kikazi kama bata sio kama unavyoendekeza wewe, hata kama unalipiwa bhana, unaboa sana, mxiew
weye tukutanage sentroLabda pia hiyo ni sehem ya kazi yake.
Halafu Ommy huwa hapangiwi yaani ukimpangia ndio una haribu kabsaa!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]weye tukutanage sentro