Ommy dimpoz punguza starehe, unaboa...

Ommy dimpoz punguza starehe, unaboa...

Atakuwa ameendea kulia shisha ughaibuni si unaona jamaa jirani yake pale analipuliza shisha kwa kwenda mbele.
Kwenu si mmekataza shisha,anakunywa gahawa chungu anasuzia na shisha....
 
Kwa mtazamo wangu naona pengine Warumi ni kijana na Ommy ni kijana mwenzie, pengine Warumi kaona kijana mwenzie hiyo hela anayo ipoteza kwa show off sisizo kuwa na tija ni bora hiyo hela ange invest!

Siku dimpoz akipata matatizo na anahitaji msaada wa kifedha mtaanza kumkashifu huu ndiyo wakati wenyewe wa kumchana ukweli

Diamond akitoka nje ya nchi yeye anaenda kupiga mtonyo! Yeye akitoka hamna cha maana..
Jina lako haliendani na comment yako... I heart you bro... Safi... Leo anakula bata haituhusu, siku akipata matatizo yatatuhusu, time will tell
 
Alkila bata hazituhusu ila akipata matatizo yananituhusu
 
Yani hili jamaa linanikera, linapenda sana raha badala ya kufanya kazi, lenyewe kutwa kubadilisha ndege, mara Dubai, US, Italy, London, khaa! Tumekuchoka bhana, fanya kazi mtoto wa kiume hizo show off waachie akina Wolper na wema ,mbona wenzio akina diamond hawana huo upuuzi, wenzio wakisafiri kikazi kama bata sio kama unavyoendekeza wewe, hata kama unalipiwa bhana, unaboa sana, mxiew
13c90de0345538dc4b0d139064895cd4.jpg
Kwani aliomba pesa kwako?
je wewe ni manager wake?
unadhani hizo pesa kakopa na anatakiwa arejeshe?
kama mtu ana nyumba gari na biashara inayomuinguzia kipato hizo pesa azifanyie nini? acha ujinga huwezi mpangia mtu kutumia pesa sake afu naona unasema kua kina Mondi na Kiba hawatoki toki nje kama yeye sasa unataka aje kwenu? au umetumwa!
 
Pesa ni zake na kazitafuta kwa nguvu zake mwenyewe halafu unataka kumpangia azitumieje. Acha ale bata.
 
Back
Top Bottom