Ommy Dimpoz unatuangusha sana wanaume wenzio

Upunga haukubaliki kwenye jamii zetu za kiafrica especially Tz so tukiona kijana mwenzetu anapotoka na kujiingiza kwenye hii laana lazima tumkemee.
Na sio kama tunamuonea wivu.
 
Upunga haukubaliki kwenye jamii zetu za kiafrica especially Tz so tukiona kijana mwenzetu anapotoka na kujiingiza kwenye hii laana lazima tumkemee.
Na sio kama tunamuonea wivu.
Mna uhakika au kisa hao vijana wanawazidi maisha ndio mnaona muwazushie?
Lakini hata wakiamua kua hivyo wewe binafsi unakerwa na nini walikuomba ujiunge nao?
 
Kwa hiyo umekubali Omari kayapatia Maisha,
Rudia haya maneno "NISAMEHE OMARI CHUKI YANGU JUU YAKO NI SABABU NAYATAMANI MAISHA YAKO LAKINI SIYAFIKII, EEH MUNGU NISAMEHE"

Piga mswaki ulale sasa.
Queen, Queen, Queen,
Kwa hiyo umemtubisha dhambi zake ili alale kwa amani 😂😂😂
We mwanamke sikuwezi, daah nimecheka sana.
Njoo umchukue shoga ako huku cocastic
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] muacheee kipenziii changu Dimpoooo.
Anakula lifeee tyuuh,. Watu wana muonea wivu.
Hivi kwanini pisikali huwa zinapenda urafiki na mashoga?[emoji16]
 
Ana life gani huyo jamaa!? Au kupigwa pipe? Kama ni hivyo bora umasikini aseee kuliko mtoto wa kiume kubonyezwa chamber
Sasa mbna unateseka wee kuliko yeye? Vipiii unakwamaa wapiii?
Poleeeeeh kwa kuumia, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtu aliyekuzidi kipato badala ya kumuita shoga au freemason mfate akupe elimu aliwezaje hadi kufika hapo alipofikia, chuki yako haiwezi mshusha zaidi ni wewe mwenyewe unajiongezea maradhi kama presha, sukari, sonona na umaskini wa kunuka.
Ongezaaa sautiiiii dear, wasikie na wengineee.
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Kwa mziki gani alioimbaa au biashara gani anazofanyaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kijana analiwaa ukweli mchunguu.
Nawee kaliwee, kwan kinyeoo hunaa?? Au huna mvutooooooo??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnateseka na mtu hata hana time na myieee. Hamjistukiiiiiiii.
Poleeeeeeeeni lol
 
cocastic unamsikia huyu , Hana taarifa za jiji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…