Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Upunga haukubaliki kwenye jamii zetu za kiafrica especially Tz so tukiona kijana mwenzetu anapotoka na kujiingiza kwenye hii laana lazima tumkemee.Huyo Domo alishasemwa ni punga
Huyo Kiba alishasemwa ni anakula punga,
Huyo Marioo kila leo anaitwa punga
Tatizo nililobaini sisi vijana wa Kitanzania tuna makasiriko sana kwenye mafanikio ya vijana wenzetu hasa wawe rika moja, zamani watu waliitwa freemasons, wakaja kua wauza unga, sasa hivi wanaitwa mashoga, sio lazima mtu aweke mahusiano yake live, jifunzeni kuheshimu faragha za watu.
Na sio kama tunamuonea wivu.