Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Kumbuka biashara ya madawa ya kulevya na dhahabu haramu zinabebeshwa ama wasanii ama wanasiasa maarufu wanaopita V.I.P.Kwa usanii tu hata kutembelea mikoa minne ni mtihani sana.
Hata Hana hit song tusema anakwenda kufanya show mbele, yuko katika ofisi moja wa tajri akijifanya mtaalamu wa graphics na marketing manager content.
Kuna jamaa jamaa alisema Kuna kitu amekiweka rehani kwa Siri kubwa.
View attachment 2909009
TRA hawafanyi Kaz zao ipazwavyo na kwa nchi hi ukiwa muhujumu uchumi unapendwa na watakuja watu watanimbia nikatafute pesa niache wivu na kisonona
RelaaaxxxAsee
Sasa si utujuze na sie mwayaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]niache bhana[emoji6]
Ahsanteee!!!Minapenda vile unajikubali mkuu, haijalishi nani kasema nini na wapi
TRA hawana mamlaka ya kumtesa mlipa kodi!Kwanza TRA walitakiwa wambinye kende zake aeleze anatoa wapi pesa na kama analipa kodi, shwaiiiin.
Sure,nadhani huyu bwana ni mzamiru yassinHuyu kama maisha anayaishi eti. Kama ni chakula ya wakubwa inamaana amewazidi hadi dada zake jamani[emoji23][emoji23][emoji23].
Hapa pa kuwa punda naweza nikaamini ila ubwabwa tu?? Hapana
We jamaa mbeya sana wewe hahahahahahahah dahUpunda haipingiki, sasa unaambiwa mwenzio mpaka chumba anacholala muuza magodoro anakijua vizuri, kila uchwao anashinda nyumbani wakati mke mkubwa yupo zake vacation dubai, tena naona siku hizi mahaba na danga lake la kimombasa 001 yamepungua kabisa mambo yote kwa muuza magodoro.
We binti unasema??Wanaume punguzeni wivu...ukipata nafasi yake hata wewe huwezi acha
Dah we mzee wewe,nani aanze kushika tako la albinus,yule chawa tu hana upuuzi huo yuleHeri msemaji mfungwa yeye alijaribu kidogo, moto ulivyokuwa mkubwa akaacha, ila walau ana mtaji
WaafrikaaaKwa usanii tu hata kutembelea mikoa minne ni mtihani sana.
Hata Hana hit song tusema anakwenda kufanya show mbele, yuko katika ofisi moja wa tajri akijifanya mtaalamu wa graphics na marketing manager content.
Kuna jamaa jamaa alisema Kuna kitu amekiweka rehani kwa Siri kubwa.
View attachment 2909009
TRA hawafanyi Kaz zao ipazwavyo na kwa nchi hi ukiwa muhujumu uchumi unapendwa na watakuja watu watanimbia nikatafute pesa niache wivu na kisonona
Very positive comment wabongo wana negativity nyingi na wivu ooh mara anaikalia ooh mara punda kumbe wivuIla watanzainia tunamajungu sana na sasa watu hawajui ila wameshampakazia kila aina ya kashfa..
Kifupi huyo jamaa anakampuni ya kutengeneza matangazo na anapewa tenda na makampuni makubwa kama gsm unavyoona matangazo yote ya gsm na picha na video za billboards zilizosambaa mjini hapa ni kampuni ya ommy ndio inasimamia na ameajiri vijana wenye degree zao kwa hiyo anatengeneza pesaaa ndefu sana kupitia kampuni yake.